Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Morocco mjanja sana. Yeye mwenyewe aliivamia Sahara Magharibi na kuikalia mpaka leo.
Hapa anatufuta alliance na nchi za west ili wamfumbie machio kimeo chake hicho
Umeonaaee.....anaamini hii ndio njia pekee ya wenye dunia yao kuridhia umiliki wake wa Saharawi..
 
German kalinga na Leopard 2 zake. Wanaume wameamua kupeleka mzigo. Sijui ataendelea kukataa tena.
German huwa anaringa sana na misaada yake kwenye huu mzozo. Namkubali sana Uingereza hajishauri mara 2 akisema kitu.

Halafu mkuu hivi Boris Johnson ana nini pale Ukraine? Mara kwa mara namuona anaenda pale.
 
German huwa anaringa sana na misaada yake kwenye huu mzozo. Namkubali sana Uingereza hajishauri mara 2 akisema kitu.

Halafu mkuu hivi Boris Johnson ana nini pale Ukraine? Mara kwa mara namuona anaenda pale.
1. Boris hana chochote alichowekeza Ukraine wala hana personal interest na Ukraine.

2. Boris ni binadamu na uonevu aliofanyiwa Ukraine kwa viwango vyovyote haukubariki. Boris alikuwa kiongozi mkuu wa kwanza kwenda Ukraine na alijionea kwa macho yake kinachofanywa ña Russia. Na ameendelea kuona unyama unaoendelea kufanywa na Russia. Kiufupi ameguswa sana na mateso wanayoyapata wa Ukraine. Kwa kutumia influency yake amejaribu ku mobilize kutoka kwa marafiki zake misaada ya kibinadamu kama madawa, vyakula n.k na kuweza kupeleka Ukraine. Amefanya hivyo si mara moja na ataendelea kufanya.

3. Boris kwa influence yake amejaribu kushawishi viongozi mbali mbali wa EU ili waisaidie Ukraine kwa vifaa na msaada ya kibinadamu.

4. Hata mimi binafsi kwa jinsi unavyoniumiza uonevu na unyama anaofanyiwa Ukraine ningekuwa na uwezo ningetoa msaada wa kibinadamu.

5. Boris katuonyesha kwa vitendo kiwango cha utu, huruma na upendo alionao kwa wanadamu wenzake.
 
Warusi wengine wanaungua kabla ya siku ya mwisho. Wanageuzwa mishikaki. Wanajuta kuivamia Ukraine
IMG_20230123_194815_912.jpg
IMG_20230123_194815_723.jpg
IMG_20230123_194816_319.jpg
IMG_20230123_194815_625.jpg
IMG_20230123_194816_164.jpg
IMG_20230123_194816_471.jpg
 
Back
Top Bottom