Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hivi vifaru wa Italia na vile vya Ufaransa 'Leclerec' mbona havitajwi Sana kama Leopard ?....ni kwamba vimezidiwa ubora au havina soko kubwa ?

T14 Armata
Hivi vifaru havitengenezewi Italia bali ni Vifaru vya Ujerumani ambavyo Italia ilinunua. Tayari vifaru kama hivi vipo vingi Ukraine. Hivyo vifaru vingine vya Ufaransa Leclerec, sijui ubora wake sababu havijatumika Ukraine.

Baadhi ya Silaha zinaletwa Ukraine kutokana na Msimu wa baridi au Joto? Ndo maana zile Drone za Iran zimeshindwa kufanya kazi Ukraine sababu kuna baridi sana. Zinaganda ndo maana unaona Mrusi hazitumii tena. Na zinazorushwa zinaangushwa kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…