figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,541
Ujerumani imetoa Silaha za Ulinzi wa anga aina ya SAM IRIS-T
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimei-miss hiyo sauti ya Jagajaga. Jagajagaa ni action oriented. Katengeneza mbolea ya kutosha inaitwa "Katsaps fertilizer".Nawashauri Warusi Warusi kwako, Wataisha
View attachment 2493178
Mrusi aliyepanda juu ya pa kakimbia mabomu ardhini. 😂😂😂 maana yake yakipiga chini yakalipuka bado hayamfikii, labda wamlenge hapo alipo 😂😂😂
Warusi Wanatumia bunduki za kizamani sana aisee. Hapo atapambana na mashine inayokohoa kama ina TB.Eti huyu Mrusi alikuja kutekeketeza Kizazi cha Ukraine
View attachment 2493268
Slava Ukraine [emoji1255]Morocco imeipelekea Ukraine msaada wa Vifaru 20 aina ya T-72B. Morocco imekuwa Nchi ya Kwanza kutoka Africa kuisaidia Ukraine.
View attachment 2492023View attachment 2492024View attachment 2492025View attachment 2492026
Slava Ukraine [emoji1255]Mwana propaganda wa Urusi anasema "hapa Soledar ni Salama kabisa" . Bila kujua yupo kwenye Target ya Sniper [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2492284
Slava Ukraine [emoji1255]Wagner wa Soledar jinsi walivyo pelekewa moto. Teknolojia imemsaidia sana Ukraine. Ndo maana ana jeshi dogo lakini Mrusi anakoma.
View attachment 2492407
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wengine wanaungua kabla ya siku ya mwisho. Wanageuzwa mishikaki. Wanajuta kuivamia Ukraine
View attachment 2493163View attachment 2493164View attachment 2493165View attachment 2493168View attachment 2493169View attachment 2493171
Slava Ukraine [emoji1255]Ujerumani imetoa Silaha za Ulinzi wa anga aina ya SAM IRIS-T
View attachment 2493237
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi waliotekwa
View attachment 2493256
Hivi vifaru wa Italia na vile vya Ufaransa 'Leclerec' mbona havitajwi Sana kama Leopard ?....ni kwamba vimezidiwa ubora au havina soko kubwa ?Italia imeipa msaada Ukraine wa Vifaru aina ya Pzh2000 self-propelled. Hawataki idadi itajwe kwa sababu za kiusalama
View attachment 2493225View attachment 2493226View attachment 2493227
View attachment 2493228
Hivi vifaru havitengenezewi Italia bali ni Vifaru vya Ujerumani ambavyo Italia ilinunua. Tayari vifaru kama hivi vipo vingi Ukraine. Hivyo vifaru vingine vya Ufaransa Leclerec, sijui ubora wake sababu havijatumika Ukraine.Hivi vifaru wa Italia na vile vya Ufaransa 'Leclerec' mbona havitajwi Sana kama Leopard ?....ni kwamba vimezidiwa ubora au havina soko kubwa ?
T14 Armata