Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Unaniangusha mkuu Pz 2000 hizo ni self propelled howitzer siyo Tank hiyo.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Ujerumani kujivutavuta kuleta vifaru aina ya Leopard, Finland, Norway na Spain wamekubaliana kuleta vifaru vyote walivyo navyo aina ya Leopards
View attachment 2494356
Hawawezi kupeleka hivo vifaru bila Germany kuruhusu. Ukifanya hivo spare utatoa wapi. Support ni muhimu sana. Labda wanajaribu kuweka pressure zaidi, lakini Germany kakataa kabisa. Huenda ana sababu za msingi.
 
Hawawezi kupeleka hivo vifaru bila Germany kuruhusu. Ukifanya hivo spare utatoa wapi. Support ni muhimu sana. Labda wanajaribu kuweka pressure zaidi, lakini Germany kakataa kabisa. Huenda ana sababu za msingi.
Zile Abrams tanks, kuna ambazo chuma chake ndani kuna depleted Uranium. Ndiyo maana USA naye anajiuliza mara mbilimbili kuvipeleka.

Ila zipo version ambazo kazisupply kwa rafiki zake havina depleted Uranium, anaweza kuwashawishi watoe hivyo halafu huko mbeleni atawaresupply.

Pia nimeshangaa kuona mamlaka za kijeshi za USA zinaongea na nchi ambazo zina equipment za kijeshi za Urusi/Soviet union, kama vile Nicaragua, Cuba na venezuela, wampe Ukraine vifaa vyao halafu yeye atawapa vya kimarekani - Hili sidhani kama litafanikiwa maana hawa watu Urusi ni rafiki yao wa wakati wote!
 
Mimi naamini USA Army na NATO wana intelligensia kubwa sana. Hawawezi kufanya jambo kama hilo wasijue madhara yake.
 
Ipo hivi, Marekani anataka vifaa vya Kivita vya Urusi/Soviet union viishe, ili silaha za Marekani ndo zianze kutumika. Sababu wakiendelea kuwa navyo wataendelea kumtegemea Mrusi kwa Vipuri, Utaalam na modification. Kitu ambacho kitafanya Urusi aendelee kupata hela. Marekani akianza kusambaza yeye Vifaru vyake, hela za vipuri, Wataalam vitatoka kwake hivyo Viwanda vya Silaha vya Marekani kuzidi kupata fedha na kufanya kazi Usiku na Mchana huku vifaru vya Urusi vikikosa Soko.
 
Maelezo mubashara yenye Logic.
 
Nimependa Vikosi vya Ukraine jinsi Vinasonga mbele huko Kherson. Hakuna jiwe linaachwa bila kugeuzwa. Hiki kifaru kinachotumika kama ngao kinaitwa The VAB (Vanguard Armoured Vehicle) kutoka Ufaransa. Ni Kifaru cha kubebea Wanajeshi Frontline. Risasi hazipenyi.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…