Zile Abrams tanks, kuna ambazo chuma chake ndani kuna depleted Uranium. Ndiyo maana USA naye anajiuliza mara mbilimbili kuvipeleka.
Ila zipo version ambazo kazisupply kwa rafiki zake havina depleted Uranium, anaweza kuwashawishi watoe hivyo halafu huko mbeleni atawaresupply.
Pia nimeshangaa kuona mamlaka za kijeshi za USA zinaongea na nchi ambazo zina equipment za kijeshi za Urusi/Soviet union, kama vile Nicaragua, Cuba na venezuela, wampe Ukraine vifaa vyao halafu yeye atawapa vya kimarekani - Hili sidhani kama litafanikiwa maana hawa watu Urusi ni rafiki yao wa wakati wote!