Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Urusi imejaribu kutuma Shahed kamikaze drone 24, na zimeangushwa Zote. Mchana ilituma cruise missiles 55 ila 47 ziliangushwa. Kati ya hizo, 20 zililenga Kyiv.
20230127_052106.jpg
20230127_051945.jpg
20230127_051943.png
20230127_051937.jpg
 
Nimependa Vikosi vya Ukraine jinsi Vinasonga mbele huko Kherson. Hakuna jiwe linaachwa bila kugeuzwa. Hiki kifaru kinachotumika kama ngao kinaitwa The VAB (Vanguard Armoured Vehicle) kutoka Ufaransa. Ni Kifaru cha kubebea Wanajeshi Frontline. Risasi hazipenyi.
View attachment 2495030
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Mzigo wa Vifaru aina ya MBT(Main battle tank) ambao umefika Ukraine. Hispania imejitahidi sana..

[emoji629] 14x Leopard 2A6
[emoji1200] 14x Leopard 2 (A5?)
[emoji633] 53x Leopard 2A4
[emoji1201] 4x Leopard 2A6
[emoji636] 14x Challenger 2
[emoji631] 31x Abrams M1A1
[emoji1189] up to 8x Leopard 2A4NO

Mzigo unaosubiriwa:

[emoji1236] 14x Leopard 2A5
[emoji1179] 14x Leopard 2 (A5?)
[emoji1103] 10x Leopard (A5?)
[emoji1087]6 Leopard 2A5
Slava Ukraine
 
Pia hata Ukraine wana propaganda sio kila kitu wanachosema ni sahihi. Mfano kombora lilitua Poland wakasema ni Urusi lakini ukweli ilikuwa ni Ukriane ndo maana iliisha kimya kimya. Sio kila habari napost hadi nijihakikishie kwani kuna connection ya watu wengi frontline japo washikaji wengi kama Dany na wengine nane walikufa kule Mariupol. Tangu wafe niliteteleka sana kupata habari sahihi. Ila sasa tupo sawa. Uliza swali. Mimi ni Timu Azov
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Back
Top Bottom