Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inasikitisha sana; wangejisalimisha tu
Aisee, Ni mtihani mgumu huo. Askari hao wengi wao ni wale wa kundi la Wagner. Ukionesha tu dalili ya kujisalimisha au kusitasita kusonga mbele(Woga) kupambana, wenzako wanakukamata chap kisha wananyofoa au wanakata Nyeti zako na kukutelekeza hapo ufe kwa kihoro kama adhabu na onyo kwa wengine watakaothubutu kufanya hivyo. Ukiangalia huko mbele unakotakiwa usonge, wako vijana wa-Ukraine wanakinukisha ile mbaya.
 
Hatari sana, wengi hawana morale ya kupigana
 
Jinsi battalion number 239 ya Ukraine ilivyodedisha askari wa miguu wa urusi kwa mizinga.

View attachment 2501178
Yaani hii Battalion inabidi tuwe nayo Makini. Ukraine wanayo na Urusi wanayo. Hivyo kwenye mabano huwa inawekwa Ukraine au Urusi. Sema Urusi wanakufa hadi basi. Sema wapo wengi. Hata kwa siku wakifa 200 huwezi jua
 
Wanajeshi wa Ukraine wanapitia Magumu sana. Pamoja na changamoto lakini hawakati tamaa ndo maana nawaona ni Mashujaa
View attachment 2502349
Dah! Inauma sana. Tunawaombea kwa Mungu awajalie wepesi na uvumilivu katika mapito hayo na awawezeshe kumaliza kwa mafanikio makubwa kazi hiyo ya kuwakomboa wanaUkraine na ardhi yao kwa ujumla. Slava Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…