Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Inasikitisha sana; wangejisalimisha tuJinsi battalion number 239 ya Ukraine ilivyodedisha askari wa miguu wa urusi kwa mizinga.
View attachment 2501178
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inasikitisha sana; wangejisalimisha tuJinsi battalion number 239 ya Ukraine ilivyodedisha askari wa miguu wa urusi kwa mizinga.
View attachment 2501178
Aisee, Ni mtihani mgumu huo. Askari hao wengi wao ni wale wa kundi la Wagner. Ukionesha tu dalili ya kujisalimisha au kusitasita kusonga mbele(Woga) kupambana, wenzako wanakukamata chap kisha wananyofoa au wanakata Nyeti zako na kukutelekeza hapo ufe kwa kihoro kama adhabu na onyo kwa wengine watakaothubutu kufanya hivyo. Ukiangalia huko mbele unakotakiwa usonge, wako vijana wa-Ukraine wanakinukisha ile mbaya.Inasikitisha sana; wangejisalimisha tu
Hatari sana, wengi hawana morale ya kupiganaAisee, Ni mtihani mgumu huo. Askari hao wengi wao ni wale wa kundi la Wagner. Ukionesha tu dalili ya kujisalimisha au kusitasita kusonga mbele(Woga) kupambana, wenzako wanakukamata chap kisha wananyofoa au wanakata Nyeti zako na kukutelekeza hapo ufe kwa kihoro kama adhabu na onyo kwa wengine watakaothubutu kufanya hivyo. Ukiangalia huko mbele unakotakiwa usonge, wako vijana wa-Ukraine wanakinukisha ile mbaya.
Yaani hii Battalion inabidi tuwe nayo Makini. Ukraine wanayo na Urusi wanayo. Hivyo kwenye mabano huwa inawekwa Ukraine au Urusi. Sema Urusi wanakufa hadi basi. Sema wapo wengi. Hata kwa siku wakifa 200 huwezi juaJinsi battalion number 239 ya Ukraine ilivyodedisha askari wa miguu wa urusi kwa mizinga.
View attachment 2501178
Slava Ukraine [emoji1255]Wanajeshi wa Ukraine wanapitia Magumu sana. Pamoja na changamoto lakini hawakati tamaa ndo maana nawaona ni Mashujaa
View attachment 2502349
Slava Ukraine [emoji1255]Pamoja na baridi lote, lakini Wanajeshi wetu kazi zinaendelea kama kawaida
View attachment 2502371
Slava Ukraine [emoji1255]Wapiganaji wa Ukraine waliopo Frontline.
View attachment 2502373View attachment 2502374View attachment 2502375View attachment 2502376View attachment 2502377View attachment 2502378View attachment 2502379View attachment 2502380View attachment 2502381View attachment 2502382View attachment 2502383View attachment 2502384View attachment 2502385View attachment 2502386View attachment 2502387View attachment 2502388
Dah! Inauma sana. Tunawaombea kwa Mungu awajalie wepesi na uvumilivu katika mapito hayo na awawezeshe kumaliza kwa mafanikio makubwa kazi hiyo ya kuwakomboa wanaUkraine na ardhi yao kwa ujumla. Slava Ukraine.Wanajeshi wa Ukraine wanapitia Magumu sana. Pamoja na changamoto lakini hawakati tamaa ndo maana nawaona ni Mashujaa
View attachment 2502349
Kuna askari walikuwa wawili mmoja anampa msaada mwingine hesabu ilikubali kabisa shell ilipiga pale pale walipokuwa wamefikia walituliza kichwa sana.Jinsi battalion number 239 ya Ukraine ilivyodedisha askari wa miguu wa urusi kwa mizinga.
View attachment 2501178