Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Baada ya Kuona wenzao wanakufa kama sisimizi, ikabidi Hawa wanajeshi wa Urusi wajisalimishe kwa miamba ya Ukraine
View attachment 2502870
Wanabahati sana hao kuangukia mikononi mwa wastaarabu(Ukraine) kwani wale wenzao askari(upande wa Urussi) wanaoongozwa na Wagner; ukijaribu hata kuonesha dalili tu ya kujisalimisha, kurudi nyuma au kusitasita kusonga mbele, askari wenzao wanawakamata mara moja na kuwanyofoa au kukata nyeti zao chap na kuwatelekeza hapo wajifie kwa kihoro. Mrussi-Wagner ni katili sana. No retreat No surrender.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…