figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,041
Siku ya uvamizi kwa ile misafara ya kijeshi ya Russia nilijua comedian ange surrender au wangechukua siku chache kuifanya Ukraine yote Kama Crimea. Ila wanachokutana nacho hata psycho Putin haamini na hata pro Russians wa JF wamebaki kutoa povu tu walidhani Russia hatapoteza hata kifaru kimoja. Russia hata Kama atashinda hii vita Russia kwangu mimi hizo silaha za nyuklia anazomiliki ndio zitaendelea kufanya aitwe super power lakini ni super power wa mabua
Russia ana uwezo wa kuwapiga Ukraine lakini hana uwezo wa kuwashinda. Ujeruma nimeona imetuma Vifaa vya kijeshi. Kuna nini tena? Ukraine wanapigana kwa Maarifa ili Wasiue wananchi wake, lakini Russia Wanapiga bila kujali watoto na wanawake. Wanachotaka raia wa Ukraine afe. Wana roho mbaya sana. Tutapambana naoSiku ya uvamizi kwa ile misafara ya kijeshi ya Russia nilijua comedian ange surrender au wangechukua siku chache kuifanya Ukraine yote Kama Crimea. Ila wanachokutana nacho hata psycho Putin haamini na hata pro Russians wa JF wamebaki kutoa povu tu walidhani Russia hatapoteza hata kifaru kimoja. Russia hata Kama atashinda hii vita Russia kwangu mimi hizo silaha za nyuklia anazomiliki ndio zitaendelea kufanya aitwe super power lakini ni super power wa mabua
Anachpfanya Puttin ni upumbavu wa kiwango cha juu kabisa.Urusi washenzi. Wakishaona wameshindwa kujilinda, wanakimbia na kuacha wametega mabomu. Wanatega hadi mabomu ya Ardhini kwenye makazi, Mashule na Hospital.
View attachment 2189423View attachment 2189424View attachment 2189425View attachment 2189426