Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine inapeleka Jeshi la Uokoaji Uturuki kusaidia kuokoa Wahanga wa tetemeko la ardhi
View attachment 2508777
Slava Ukraine [emoji1255]Katika bandari ya Charleston (North Carolina, USA), zaidi ya Vifaru 60 aina ya M2 Bradley armored vehicles, Vimepakiwa kupelekwa Ukraine
View attachment 2508781
Slava Ukraine [emoji1255]Bakhmut, Urusi wanakufa kama sisimizi.
View attachment 2508948
Slava Ukraine [emoji1255]Hata Ujerumani kasafirisha mzigo wake kupeleka Ukraine. Leopard2
View attachment 2509267
Safi sana. Kamandi ya majeshi ya Ukraine ilisema, ikipata vifaru 300 tu, inawagaragaza warusi mapema. Naona sasa Bradley zinakwenda, Leopard zinakwenda, na long range zinakwenda. Inaelekea Biden na washirika wake wanataka kabla ya uchaguzi wa 2024 kiwe kimeshaelewela huko UkraineKatika bandari ya Charleston (North Carolina, USA), zaidi ya Vifaru 60 aina ya M2 Bradley armored vehicles, Vimepakiwa kupelekwa Ukraine
View attachment 2508781
π€£π€£π€£π€£π€£
View attachment 2509503
Huyo arudi nyumbani asife kwa kihoroHuyu Mwanahabari alienda kuwahoji Frontline wa Ukrane. Anaogopa hadi basi.. Yaani nimecheka balaa.. Alijua Frontline mchezoπ€£π€£π€£π€£
View attachment 2510028
πππ hapo ni kwa nje tu, kwa ndani atakuwa kalowana kabisa kwa kihoro kileπββοΈπββοΈπββοΈHuyu Mwanahabari alienda kuwahoji Frontline wa Ukrane. Anaogopa hadi basi.. Yaani nimecheka balaa.. Alijua Frontline mchezoπ€£π€£π€£π€£
View attachment 2510028
Slava Ukraine [emoji1255]Huyu Mwanahabari alienda kuwahoji Frontline wa Ukrane. Anaogopa hadi basi.. Yaani nimecheka balaa.. Alijua Frontline mchezo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2510028
Kiongozi bora wa nchi kwa kizazi chake. Vita ilipoanza urusi hasa Puttin alimkadiria kwa udogo sana Jamaa.Mwamba Zelensky katinga Uingereza leo
Lakini tumpongeze angalau kwa moyo wa kwenda frontline,Huyu Mwanahabari alienda kuwahoji Frontline wa Ukrane. Anaogopa hadi basi.. Yaani nimecheka balaa.. Alijua Frontline mchezoπ€£π€£π€£π€£
View attachment 2510028
Umewaza mbali sana!!Lakini tumpongeze angalau kwa moyo wa kwenda frontline,
kuna nchi waandishi wa habari wanaogopa hata kwenda kwenye maandamano ya upinzani kwa kuogopa mabomu ya machozi
Sasa wewe El Chapo wa Mbagala Kizuiani mbona unaona wenzio kuhadithia mambo ya frontline kama vile wanafaidi!!??Waukraine wa mabibo bhans mnavosimulia kwa uhakika kaa mpo frontline vile buuure kabisa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu ndo wa kizuiani kweli kweliSasa wewe El Chapo wa Mbagala Kizuiani mbona unaona wenzio kuhadithia mambo ya frontline kama vile wanafaidi!!??
π π π π π π π π π π π π