Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Katika bandari ya Charleston (North Carolina, USA), zaidi ya Vifaru 60 aina ya M2 Bradley armored vehicles, Vimepakiwa kupelekwa Ukraine
View attachment 2508781
Safi sana. Kamandi ya majeshi ya Ukraine ilisema, ikipata vifaru 300 tu, inawagaragaza warusi mapema. Naona sasa Bradley zinakwenda, Leopard zinakwenda, na long range zinakwenda. Inaelekea Biden na washirika wake wanataka kabla ya uchaguzi wa 2024 kiwe kimeshaelewela huko Ukraine
 
Mwamba Zelensky katinga Uingereza leo
Kiongozi bora wa nchi kwa kizazi chake. Vita ilipoanza urusi hasa Puttin alimkadiria kwa udogo sana Jamaa.

Kwa jinsi alivyo mkakamavu na kuonesha ukomavu wa hali ya juu sana kwenye kuiongoza Ukraine, analeta lile swali la karne kadhaa la kifalsafa. Kiongozi huzaliwa akiwa kingozi ama hufunzwa kuwa kiongozi???

Are leaders are born or made!!??
 
Huyu Mwanahabari alienda kuwahoji Frontline wa Ukrane. Anaogopa hadi basi.. Yaani nimecheka balaa.. Alijua Frontline mchezo🤣🤣🤣🤣
View attachment 2510028
Lakini tumpongeze angalau kwa moyo wa kwenda frontline,
kuna nchi waandishi wa habari wanaogopa hata kwenda kwenye maandamano ya upinzani kwa kuogopa mabomu ya machozi
 
Waukraine wa mabibo bhans mnavosimulia kwa uhakika kaa mpo frontline vile buuure kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa wewe El Chapo wa Mbagala Kizuiani mbona unaona wenzio kuhadithia mambo ya frontline kama vile wanafaidi!!??

😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
 
Sasa wewe El Chapo wa Mbagala Kizuiani mbona unaona wenzio kuhadithia mambo ya frontline kama vile wanafaidi!!??

😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Huyu ndo wa kizuiani kweli kweli
sasa kama mtu unaona habari iliyowekwa ni ya uongo,weka ya kwako ya ukweli tulinganishe
vinginevyo subiri wanaume wakupe habari za uhakika.
 
Back
Top Bottom