figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #10,881
Ukraine ni wacha kabisa. Huku ananyukana kiume na Mrussi lakini bado anaweza pia kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Uturuki. Mrussi bado anahangaika kwenye mashimo kama nungunungu kule Bakhimut yuko hoi bin taaban hajiwezi hata kutoa msaada. Eti ni supaPawa. Hovyo kabisa yule.Ukraine imetoka Wanajeshi 90 na vifaa kusaidia kuokoa Wahanga wa tetemeko Uturuki. Wameenda na mbwa wa kutosha pia na Wameshaanza kazi
View attachment 2511574View attachment 2511575View attachment 2511576View attachment 2511577View attachment 2511578View attachment 2511579View attachment 2511580
Slava Ukraine. Mungu awabariki sana.Ukraine wakielekea Uturuki kusaidia wahanga wa tetemeko
View attachment 2511582
Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine wakielekea Uturuki kusaidia wahanga wa tetemeko
View attachment 2511582
Slava Ukraine [emoji1255]Ukraine imetoa Wanajeshi wa uokoaji 90 na vifaa kusaidia kuokoa Wahanga wa tetemeko Uturuki. Wameenda na mbwa wa kutosha pia na Wameshaanza kazi
View attachment 2511574View attachment 2511575View attachment 2511576View attachment 2511577View attachment 2511578View attachment 2511579View attachment 2511580
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wanapata tabu sana kwenye ardhi waliyovamia kwa kwa mbwembwe
View attachment 2512044
Hahaha wee jamaa bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa wewe El Chapo wa Mbagala Kizuiani mbona unaona wenzio kuhadithia mambo ya frontline kama vile wanafaidi!!??
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sema uko personal sana[emoji1][emoji1]Huyu ndo wa kizuiani kweli kweli
sasa kama mtu unaona habari iliyowekwa ni ya uongo,weka ya kwako ya ukweli tulinganishe
vinginevyo subiri wanaume wakupe habari za uhakika.
Ngoja tuone hizo tornado, mirage 2000 na F-16 kama kweli zitapelekwa zitaiongezea nini Ukraine huko Frontline....Good news
Bunge la Ulaya limepiga kura kupeleka ndege za kisasa Ukraine na kuipa Ukraine makombora ya masafa marefu!