Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ukraine imetoa Wanajeshi wa uokoaji 90 na vifaa kusaidia kuokoa Wahanga wa tetemeko Uturuki. Wameenda na mbwa wa kutosha pia na Wameshaanza kazi
20230209_161313.jpg
20230209_161307.jpg
20230209_161305.jpg
20230209_161302.jpg
20230209_161203.jpg
20230209_161159.jpg
20230209_161156.jpg
 
Ukraine imetoka Wanajeshi 90 na vifaa kusaidia kuokoa Wahanga wa tetemeko Uturuki. Wameenda na mbwa wa kutosha pia na Wameshaanza kazi
View attachment 2511574View attachment 2511575View attachment 2511576View attachment 2511577View attachment 2511578View attachment 2511579View attachment 2511580
Ukraine ni wacha kabisa. Huku ananyukana kiume na Mrussi lakini bado anaweza pia kutoa msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi nchini Uturuki. Mrussi bado anahangaika kwenye mashimo kama nungunungu kule Bakhimut yuko hoi bin taaban hajiwezi hata kutoa msaada. Eti ni supaPawa. Hovyo kabisa yule.
 
Back
Top Bottom