figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #1,061
Na bado vichapo vinaendelea ata wapande bodaUrusi tukiwapiga, wanapanda magari ya V8 wanakimbia, leo wamekimbia na kuacha hii grad MLRS, ikiwa fully loaded. Hili gari linaitwa truck-mounted multiple launch rocket system (MLRS)
View attachment 2189895
Kaishiwa mbinu kabisaUrusi washenzi. Wakishaona wameshindwa kujilinda, wanakimbia na kuacha wametega mabomu. Wanatega hadi mabomu ya Ardhini kwenye makazi, Mashule na Hospital.
View attachment 2189423View attachment 2189424View attachment 2189425View attachment 2189426
Yaani kwa haraka haraka huyu ni mercenary ... viva Ukraine