Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

20220416_201915.jpg
 
Hahahaaa🤣🤣🤣. Yaani wanajiachia kabisa wanakuja na magari madogo kisa hwajaona risasi km 6. Je, walokuwa ndanu ya haya magari wamefanywa nini? Urusi watakoma
 
Urusi wanajitapa, ila ndani ya 18 ni mdebwedo. Marekani watupe silaha tumalize mchezo
 
grad MLRS inakimbia balaa🤣🤣🤣
 
Azov wamefanya yao. Kama kawaida. Hawataki mateka. Wanaua na kuendelea na safari
20220416_213132.jpg
20220416_213129.jpg
 
Mrusi kakataa kupigana vita na Ukraine. Passport yake ikagongwa Mhuri eti kagoma pigana vita.🤣🤣
"AVOIDED THE DUTIES OF MILITARY SERVICE BY REFUSING TO PERFORM SERVICE AND COMBAT TASK AS A PART OF THE MAIN TACTICAL GROUP DURING A SPECIAL MILITARY OPERATION"
20220416_213649.jpg
 
mheshimiwa tupe ukweli,tunasikia mariupol sasa ni rasmi mikononi mwa urusi? na ni kweli kwamba mji wa kyv unashambuliwa muda huu?
 
Silaha aina ya Stugna-P ATGM ilivyolipua kifaru cha Urusi aina T-72. Hiki ni kikosi cha 501st Separate Marine Battalion. Hatari sana
 
Back
Top Bottom