Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Mkuu tupe info ambazo ni sahihi kuhusu mji wa Meliopol Warusi wanasema wameuteka je ni kweli?
Info gani ambazo nimetoa sio sahihi?Mkuu tupe info ambazo ni sahihi kuhusu mji wa Meliopol Warusi wanasema wameuteka je ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilisemekana wameishiwa silaha na chakula, wamewezaje kukinukisha?Kikosi kikali cha Azov au Wanajeshi wenye hasira kali Azov, wamesema bora wauawe wote kuliko kujisalimisha Mkoani Mariupol. Jana Wamekinukisha balaa.
View attachment 2191530