Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3. Kilitekwa hivi karibuni
 
Kwa maandalizi yanayofanywa na pande Zote mbili kati ya Ukuraine na Rusia basi vita ya mashariki itakua vita ambayo haijawai tokea kwa Sababu Kila upande umejiandaa lakini Mungu yupo na Ukureine na hakika ushindi ni wao lakini hasara zitakia kubwa Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
State Border Guard Service Mkoani Kharkiv Wameweka Mambushi msafara ba Urusi na Kulipua Vifaru 5 , Magari ya kubeba Askari na Silaha10. Na kila gari lilokuwa kwenye msafara.
20220417_113225.jpg
20220417_113220.jpg
 
Ukraine wameangusha Orlan-10 reconnaissance UAV ya Urusi Mkoani Donetsk
20220417_171913.jpg
20220417_171917.jpg
20220417_171920.jpg
20220417_171923.jpg
 
T-80U cha Urusi, baada ya kukiteka tumekikarabati sasa kipo kazini Mkoani Kherkyiv
20220417_172504.jpg
20220417_172500.jpg
 
Praporshchik Kara Boydoev aliawa Ukraine 2022 March 24
20220417_173602.png
 
Mabaki ya Helkopta ya Urusi aina ya Mi-8/Mi-17 iliyoangushwa na Majeshi ya Ukraine
 
Hapa ni Mkoani Kharkiv Vifaru vya Urusi aina ya T-72B Obr 1989 vikiwa na Kontakt-1 ERA vinatumika na Jeshi la Ukraine baada ya kutekwa. Hapa vimekuwa loaded 3VBK-25 HEAT-FS
20220418_100355.jpg
20220418_100353.jpg
20220418_100351.jpg
20220418_100349.jpg
 
Back
Top Bottom