Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Naona ICEYE satellite wameamua kutumia Vita ya Ukriane kama sehemu ya kuboresha mitambo yao. Wameweza kuisaidia Ukriane kubainisha sehemu ambapo Magari ya Adui yalipo na Ukraine inafanikiwa kuyalipua.

Defence Intelligence ya Ukraine imetanabaisha kwamba ndani ya miezi 5, ICEYE imesaidia kufanimisha Target 7321 za maadui

Kati ya hizo Target, waliweza kulipua;
▪️ 45 airplanes;;
▪️ 27 helicopters;
▪️ 6 Iskander air defense systems;
▪️ 36 S-300 AIR DEFENSE SYSTEMS;
▪️ 12 "Pantsir-S1" air defense system;
▪️ 11 RADAR;
▪️ 10 pontoon crossings.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…