Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nguvu kubwa mno pamoja na vifaa imewekwa huko kwenye hicho kimji.
Ushauri wa bure
1. Usilolijua ni kama usiku wa giza. Full stop

2. waachie wenye military skills na jaribu kujifunza kupitia watu wenye uzoefu na wana skills za military. FULL STOP.

3. Usiokoteze propaganda za watu ambao hawajui hata uwanja wa vita ukoje. Full Stop.
 
Akikujibu ni tag please.
 
Yapo maeneo mengi yaliyokwisha chukuliwa hiyo Bakhmut haitokua ya kwanza.
1. Jibu hoja ulizoulizwa acha kutapatapa. Kwani ukisema hujui kitu utadharaulika.

2. Hujui kuwa ndo unajianika mpaka watu wamejua level yako ya kufikiri na kwamba hujui chochote kinachoendelea uwanja wa vita.
 
Takwimu tamu sana hii 👏👏👌👌
 
Acha kujifanya mjuaji wewe,
 
1. Jibu hoja ulizoulizwa acha kutapatapa. Kwani ukisema hujui kitu utadharaulika.

2. Hujui kuwa ndo unajianika mpaka watu wamejua level yako ya kufikiri na kwamba hujui chochote kinachoendelea uwanja wa vita.
Ukijua level yangu ya kufikiri inakuongezea nini ?...

tusipangiane cha kuandika kiazi wewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…