Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wanajeshi wa Ukraine, jana wamemaliza mafunzo ya kutumia Vifaru aina ya #Leopard 2 huko Ujerumani
20230315_224411.jpg
 
Nyie wa-Ukraine wa Bonyokwa acheni mikwara, ukishaanzisha Uzi ni haki ya kila JF user kuchangia kama atataka...Ukiposti uzi huo unakuwa public property hivyo vumilieni tu.
 
Nadhani wanauwezo mdogo wa kusoma na kuelewa. Watukane watakavyo, sitaacha kupost mizoga ya Urusi🤣🤣🤣

Walichotakiwa kufanya ni kusema picha ni uongo au sehemu fulani mumepost uongo ni ukweli ni huu. Lakini kutukana na kejeli haiwasaidii watanzania. Nilitegemea watu wajifunze mbinu mpya za zana mpya za kivita kupitia hii Vita ya Ukraine na Urusi. Badala yake watu wabaleta matusi. Anayetukana namuona kichwa chake kimejaa Kamasi🤣🤣

Umenena ukweli. Yapo mengi ya kujifunza kuhusu hii vita. Nitasema machache tu.
1. Tumejifunza kuhusu silaha nzito zinazotumia technology ya kisasa kabisa kutoka US, NATO na nchi za EU siyo ya ki soviet. Maana wengi tuliamini kuwa Russia ana silaha nzito za kisasa zinazotumia technology ya kisasa kumbe ki kubwa alicho nacho ni Hypersonic missiles.

2. Wengi waliamini kuwa Russia ni super power kwamba ana uwezo wa kuichakaza nchi ndani ya siku tatu kumbe si chochote. Hadi ile misururu ya tanks sote ilitutisha na tukajua ataisaga Ukraine ndani ya saa 72.

3. Usimdharau mtu yoyote ukajua kuwa huyu nikimtwanga ngumi moja tu anapelekwa muhimbili kumbe wewe unaweza kujikuta unaenda muhimbili bila shuruti. Hicho ndo kilichomtokea Putin kwa kuichukulia poa Ukraine. Msululu wa vifaru ule uliteketezwa na watu tuliowachukulia poa. Juvelin sitamsahau kwa kutafuna vifaru.

4. Putin alimchukulia poa mzee Biden kwa upole ule kumbe ni mtu wa action anajua kum fix mtu. Matokeo yake Putin kila siku utamsikia US, NATO lele leleee.

5. Nchi za Africa nyingi ziliamini Russia ana silaha nzuri zaidi na za bei nafuu kuliko za US na German. Ndiyo maana soko kuu la silaha kwa Russia ni Africa. Binafsi niliamini S-400 ni hatari sana kumbe ni ya kawaida tu. Kama nchi tujifunze kuwa tunahitaji mifumo bora ya ulinzi wa anga kutoka west na siyo Russia na china.
 
Nyie wa-Ukraine wa Bonyokwa acheni mikwara, ukishaanzisha Uzi ni haki ya kila JF user kuchangia kama atataka...Ukiposti uzi huo unakuwa public property hivyo vumilieni tu.
Hata kukujibu tumekustahi. Huwa tunawapotezea. Kwahiyo mkituita hivyo ndo raha yenu? Ujinga mtupu. Ni wivu tu unawasumbua. Mumeshindwa anzisha uzi wenu kwa ujinga wenu. Mnavamia vya jirani kama Urusi ilivyo vamia Ukriane. Wivu tu
 
Vumilia tu uwepo wetu.....utazoea tu taratibu...relax
 
Unajua Urusi, miaka nenda rudi wao ni Vita na majirani zake. Nia waogopwe na hawaogopwi. Wanabomoa miundombinu na majengo kutia hasara lakini bado wanapelekewa moto. Huyu jamaa katengeneza booklets kuhusu ufirauni, ushwetani na roho mbaya ya Urusi.
View attachment 2553021View attachment 2553023View attachment 2553024
Duh! Kumbe hawa majambawazi (Jeshi la Warusi) ni wabobezi kwa kufanya ukatili kwa raia na nchi majirani zake. Ila safari hii yan katika vita hii atatapishwa ufedhuli huo na hilo pepo la uonevu na ubabe litamtoka kwa jina la Ukraine. Slava Ukraine.
 
Soldier destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, Ukrainian commander says​

From CNN's Radina Gigova and Olga Voitovych

A soldier from Ukraine's 93rd Mechanized Brigade destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, according to a commander.

The announcement comes after the head of Ukraine's President’s Office, Andriy Yermak, claimed earlier Wednesday that forces from the 93rd Mechanized Brigade also shot down a Russian military plane near Bakhmut.

Commander Oleksandr Syrskyi of the Land Forces of the Armed Forces of Ukraine said the Russian military "continues to unsuccessfully try to surround the city and advance."

"The soldiers of the 93rd Brigade, along with other defenders, are holding back the enemy's fierce pressure there. Due to their work, enemy tanks, infantry fighting vehicles, MLRS and ammunition depots are blown up," Syrskyi said in a Telegram post.
 
Soldier destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, Ukrainian commander says​

From CNN's Radina Gigova and Olga Voitovych

A soldier from Ukraine's 93rd Mechanized Brigade destroyed a Russian Su-25 jet over Bakhmut, according to a commander.

The announcement comes after the head of Ukraine's President’s Office, Andriy Yermak, claimed earlier Wednesday that forces from the 93rd Mechanized Brigade also shot down a Russian military plane near Bakhmut.

Commander Oleksandr Syrskyi of the Land Forces of the Armed Forces of Ukraine said the Russian military "continues to unsuccessfully try to surround the city and advance."
Hili ni jukwaa la picha maneno machache ya caption tu. Na thread inahusu picha na Video.
 
Labda proUrusi wanadhani kwamba proUkraine hatujui na hatuamini au hatukubali kwamba wapiganaji wa Ukraine nao wanauawa katika mapambano yanayoendelea. ProUrusi hawajakubali kwamba SIO INTEREST ya uzi huu kuweka picha au video clips za pale Ukraine anapokuwa amepoteza au amefeli. jJambo hili liliwekwa bayana tangu mwanzo kwamba zinawekwa picha au vid clips za mafanikio ya Ukraine dhidi ya Urusi.
Sijui ni kwa nini proUrusi wanaung'ang'ania uzi huu kama Mrusi anavyoinga'ng'ania Bakhmut halafu mbaya zaidi wanakuja na matusi na ushabiki wa masuala ya ushoga n.k. - Inakera kwa kweli.
Kwahiyo mkuu pro Urusi na Warusi wote ni ving'ang'anizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom