figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
-
- #12,141
Ole wake akanyage nchi za EU zinazoiunga mkono Ukraine wanamnyaka. Hata kama atakuwa ameshaondoka madarakani.
Aisee! Huo Mkakati sio wa kawaida.Naona mambo yanazidi kupamba moto
Eti mkuu; Hili la kwamba Urusi sio mwanachama wa ICC limekaaje?Ole wake akanyage nchi za EU zinazoiunga mkono Ukraine wanamnyaka. Hata kama atakuwa ameshaondoka madarakani.
Slava Ukraine [emoji1255]Orcs wakishindwa jificha vizuri
View attachment 2554456
Slava Ukraine [emoji1255]Mrusi bado unapua? Ndiwoo
View attachment 2554462
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wanajuta kuja Ukriane. Wanapasuliwa vixhwa tu.
View attachment 2554465
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wanatubu
View attachment 2554466
Slava Ukraine [emoji1255]Baadhi ya Makaburi ya Warusi walokufa Ukriane ndani ya siku 2. Mashimo yap wazi wengine wanakuja kuzikwa kesho
View attachment 2554468
View attachment 2554469
Slava Ukraine [emoji1255]Kitendo cha kujificha au kuficha zana za kivita kwa kupaka rangi zinaendana na mazingira, au kufunika na majani, kinaitwa camouflage. Angalia hii
View attachment 2554558
Slava Ukraine [emoji1255]Kikosi cha special purpose battalion "Wild field" kutoka 67th Brigade walivyo pambana na Wagners
View attachment 2554580
Slava Ukraine [emoji1255]Urusi wameshindwa kuvifanyia camouflage vifaru vyao vikaonwa huko Luhansk. [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2554645
Slava Ukraine [emoji1255]Msikilize Mrusi mwishoni mwa video anavyolia kama nyau[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2555322