figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #12,181
Masikini Watoto wa Urusi. Wanajuta kuvamia Ukraine. Wanaangamia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wagner wana silaha gani nzito za kuwasaidia katika offensive?Offensive ya 15-16/03/2023 imeogofya;
1. Wagner wanaitaka sana Bakhmut. They are determined to take it. Kuichukua Bakhmut ni kete kubwa sana kwao kisiasa mbele ya macho ya Warusi na kuonyesha dunia kuwa wao ndo wana drive frontline kwa Bakhmut. Uzoefu wao kwenye vita unawabeba sana. Hilo sina ubishi nalo hata kidogo. Ukweli kwa Bakhmut Ukraine imezidiwa mbinu za kivita na Wagner.
2. Offensive waliyoifanya Wagner tarehe 14-15/03/2023 kaskazini mwa Bakhmut along Bakhmut'ske river na kufanikiwa ku advance pamoja na ile waliyofanya tarehe 15-16/03/2023 upande wa kusini mwa Bakhmut na kufanikiwa kuchukia mitaa kadhaa na sehemu kubwa imeogopesha sana Ukraine troops. Offensive hiyo imefanya Ukrainian troops ianze kufikiria kuondoka Bakhmut. Wakubwa wamesharidhia.
3. Kwa hofu ya kuzungukwa Ukrainian troops wameanza kuondoka taratibu Bakhmut. Nadhani siku chache sana zijazo ukraine troops watakuwa wamekamilisha zoezi la kuondoa wanajeshi wote (Retreat) bila kuleta madhara makubwa. Heri shari kuliko shari kamili.
4. Ukraine ili stabilize counter offensive yao direction ya Bakhmut lakini Wagner wameendelea ku hold on frontline mashariki, kaskazini na sasa kusini. Inaumiza washenzi hawa kuchukua Bakhmut lakini ndo hivo vita ni mbinu. Ukizidiwa unakubali na kuganga yajayo.
Kwa kweli Ukraine inapigania nchi yake kwa maumivu makali. Lakini mungu yuko nao bado hatawaacha. Hii vita lazima watashinda tu.Urusi wanapoteza wanajeshi 1,500 kwa siku huko Bakhmut. Uchache wa wa Wanajeshi wa Ukraine unatukost. Ukraine nchi ndogo... So hula kutokana na kamba. Hata hivyo imenitahidi sana kuipambania Ukriane kwa miezi 10 usiku na mchana. Slava Ukraine
View attachment 2556835
1. Ku paralyse supply ya adui ni kuzuia njia kuu za kuleta silaha frontline. Sasa kama Russia kakamata njia kuu zote za kuingia Bakhmut unawezaje sasa kukata supply yao.Hivi wagner wana silaha gani nzito za kuwasaidia katika offensive?
Ukraine imeshindwa kudisrupt supply chain ya wagner?
Ofcourse ndani ya Wagner huenda kuna makomandoo wa jeshi la Afghanistan waliokataliwa na Taleban
Nina wasiwasi pia Hizbollah wanaweza kuwemo mle(Sina uhakika na hili)
1. Ku paralyse supply ya adui ni kuzuia njia kuu za kuleta silaha frontline. Sasa kama Russia kakamata njia kuu zote za kuingia Bakhmut unawezaje sasa kukata supply yao.
2. Pili kama umebakiwa na MLRS na rocket chache inakuwa ngumu kumdhibiti adui. Mfano unaweza ukawa na HIMARS lakini huma long range missile utawezaje kulipua maghala yaliyo mbali na frontline.
3. Kuna factors nyingi sana ambazo zimechangi Ukraine kushindwa kusonga mbele kwa frontline yote. From Kherson to Kreminna
1. You well narrated the tactical they use.Muda huu punde nilikuwa nagoogle tactics za wagner, wanasema kuwa:
1. Jamaa wanatumia assault groups (vikundi vya watu wachache wanaokuja bila kukoma), ukiua 10, nusu saa ijayo wanaibuka wengine
2. Hawajali kabisa vifo,amri yao ni kusonga mbele mpaka wafikie military target waliyopangiwa
3. Pia wanatumia drones. Drones zinakuwa zinamonitor movement ya assault groups zao. Ikitokea Waukraine wakawaengage wagner, basi military positions zao zinajulikana, coordinates zao zinarushwa kwenye command and control center ya wagner, kisha artillery zao zinashambulia waukraine.
4. Discipline katika masoldier wa wagner iko enforced severly. Ukipewa amri ya kusonga ukigoma unakula chuma.
5. Vikundi vya Wagner wakisonga mbele, ili kuestablish position basi artillery itapiga nonestop kuwapa cover ili wachimbe mahandaki yao ktk position mpya.
6. Wagner wanawalinda watu wa command and control centre sana kuliko infantry
My take:
It seems Wagner wanatumia hybdrid warfare yaani wanatumia staili kama ya Guerilla warfare na conventional warfare kwa pamoja
Kama Ukraine ikifanikiwa kwenye ishu ya Intelligence, kwenye kuidentify command and control centres za wagner na kuziharibu, itawasaidia mno.
Turufu ya Warusi ni artillery(Mizinga). Kama Ukraine nayo itapata artillery za kutosha au kuneutralize artillery za Warusi itawasaidia sana.
Waukraine wakiweza kujama communication equipment ya wagner, wanabaki kuwa kama skauti porini wanweza kuangamizwa kiurahisi
Slava Ukraine [emoji1255]
Slava Ukraine [emoji1255]Hii ni anti-aircraft missile system "Tunguska" ya Urusi. Kwanini haikuiona drone?
View attachment 2555883
Slava Ukraine [emoji1255]Hawa jamaa wanapelekwa kuongeza nguvu Bakhmut. Wana amsha amsha balaa.
View attachment 2555893
Slava Ukraine [emoji1255]Ghala la Silaha la Urusi huko Bakhmut
View attachment 2555897
Slava Ukraine [emoji1255]Miezi 9 hadi 10 sasa Urusi wanapambana kuikamata Bakhmut bila mafanikio. Nawapongeza wanajeshi wa Ukraine kwa kusimama imara bila kujali wingi wa jeshi la Urusi
View attachment 2555908
Slava Ukraine [emoji1255]Majeshi ya Urusi yalivyo kung'utwa Usiku na drone.
View attachment 2556205
Slava Ukraine [emoji1255]HIMARS ikiwapelekea moto Wanajeshi wa Urusi leo Asubuhi
View attachment 2556679