Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Slava Ukraine [emoji1255]
Jamaa walikuwa wabaingia kwenye mtego wa Warusi, ikabidi apige risasi juu ili wasimame. Aliwaokoa.. Frontline kufa ni dakika 0. Walikuwa wanapeleka Majeruhi hospital
Urusi kumechuka. Kuna Bohari inateketea huko St. Petersburg Urusi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mchana Urusi walishambulia Kharkiv kwa kutumia S-300 missiles wakitokea Mkoani Belgorod huko Urusi. Sasa usiku huu kuna Milipuko kama hii 9 imeripotiwa huko Belgorod. Watajua hawajui
Mataifa yanasaidia Ukraine Frontline. Mrusi apigwe
Angalia Convoy ya Urusi ilivyo teketezwa
Hawa ni Wanajeshi 7,000 wa Ukraine ambao wamehitimu Mafunzo ya kivita huko Marekani
AZOV wametuma picha wakiwa katika ya Bakhmut. Tangu mwezi wa nane 2022, wafanya propaganda wa Urusi wamekuwa akisema bado km 2 kuizunguka Bakhmut.🤣🤣🤣
Urusi ilisema itaiteka Kyiv ndani ya Masaa 72. Hivyo wanajeshi wa Ukriane waweke silaha chini Warudi nyumbani. Lakini sasa hata sijua ni masaa mangapi bado wanapambana kwenye mikoa ya Mpakani. Nini kimewasibu? Mikoa inayopakana na Urusi ndo Vita ipo, mbona hawaji katikati ya Nchi?