Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kifaru cha Urusi aina ya T-72 kilivyo sambaratishwa na Stugna-P ATGM ya Ukraine kwa umbali wa 4.5KM.
Your browser is not able to display this video.
 
Hapa ni Izyum
Your browser is not able to display this video.
 
Kifaru cha Urusi aina ya T-72B3, kimetekwa na Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Askari Polisi wa Moscow Sergei Klokov, anakabiriwa na kifungo cha miaka 10 baada ya kulaani Urusi kuivamia Ukraine. Alirekodiwa na Mamlaka wakati anaongea na simu. Kafanya kazi Polisi miaka 20
 
Ndege ya Urusi imeangushwa Izyum.
Your browser is not able to display this video.
 
Stugna-P ATGM ikiwa kazini Donbass, imetungua kifaru cha Urusi
Your browser is not able to display this video.
 
Hii Silaha aina ya Stugna-P ATGM ina shabaha sana.
Your browser is not able to display this video.
 
Stugna-P ATGM. Kila mtu kala kichwa chake. Urusi wao wanakuja kama kumbikumbi. Unajichagulia
Your browser is not able to display this video.
 
Ni muda sasa wa Ukraine kuanza kulipiza kisasi.....taratibu taratibu kwa kuipiga mipaka ya urusi
 
Oyaaaaaa mbona mnakimbia Uzi mkuu kule .... Hahahaaaaaa mmeamua kuanzisha Uzi wa kujifariji... Kichapo kipo palepale ... NOWHERE TO HIDE....
 
Asilimia kubwa ya Askari waliopo Donbas sio Warusi bali ni Askari wa kukodi kutoka Syria na libya. Urusi Askari wao ni Wa ndege na Vifaru, hawa wa Miguu wote wa kodi. Hawa Askari wa Kukodi wa Urusi wanakufa kama Sisimizi
 
Last week nilikwambia huna unachokijua kuhusu hi Vita...Sasa mmesapomza azov..man masaa machache ya kujisalimisha...
 
Gari la Mizigo la Urusi limepigwa Kombora.

Lilikuwa linasafirisha Makombora aina ya 3OF39 152mm laser guided projectiles kwa jina lingine 2K25 Krasnopol system. Hongera Ukraine
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…