Wenzetu Mariupol wana hali ngumu. Makombora, Risasi madawa, Vimewaishia. Leo wanapigana Vita ya Mwisho. Kuna Mzigo umetoka Marekane.. Tukibahatika usiku ukaingia tushukuru Mungu. Usipoingia kesho hamna Vita Mariupol. Ukiacha Wanajeshi, tuna Wapishi, Madakitari, Wahandisi, Mafundi wa umeme na Mafundi Bomba, Waandishi wa habari na IT. So Kikosi cha Azov kisipopata Silaha leo, wapo watakaokufa, kutoroka na wengine watakekwa. Leo sina raha kabisa. Wapo wanajeshi wa kujitolea kutoka Marekani na Uingereza.
Hadi Muda huu Urusi Wameshindwa kufika Viwandani Walipo. Mapambano yanaendelea kama kawaida. Ila kesho watazidiwa. Uzuri walishajiandaa na Mahandaki kwa mwezi Mzima. Tangu Tarehe 15 April 2022 Wamegoma kijisalimisha hadi leo.
Azov wamelipua kifaru cha Urusi T-72B
View attachment 2194204