Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Angalia Urusi walivyopigwa Ambushi. Wao wanaenda kama kumbikumbi
 
Vifuru vya Urusi vikiiba Mafuta
20220420_083331.jpg
 
Canada kupeleka Ukraine Silaha nzito aina ya M777 155mm howitzers.
20220420_083852.jpg
 
BMP-1 ikiwa kazini live
 
Mtaa wa Tverskaya huko Moscow nasikia moto unawaka.. Bora walipukiwe na Kombora
 
Kokosi cha Azov bado wanakinukisha Mariupol. Wanapungukiwa silaha tu.
 
Mwanajeshi wa Ukriane akipiga picha na Kifaru alichoteka aina ya TOS-1A thermobaric MLRS BM-1 launcher cha Urusi. Watu wa Takwimu wanasema Ukraine ndo nchi ya kwanza yenye Vifaa vingi vya Ukraine. Wangekuwa wananunua ndo angekuwa mnunuzi Mkuu.
20220420_145239.jpg
 
Angalia Msafara wa Urusi ulichokutana nacho Kherkyiv.
 
Wenzetu Mariupol wana hali ngumu. Makombora, Risasi madawa, Vimewaishia. Leo wanapigana Vita ya Mwisho. Kuna Mzigo umetoka Marekane.. Tukibahatika usiku ukaingia tushukuru Mungu. Usipoingia kesho hamna Vita Mariupol. Ukiacha Wanajeshi, tuna Wapishi, Madakitari, Wahandisi, Mafundi wa umeme na Mafundi Bomba, Waandishi wa habari na IT. So Kikosi cha Azov kisipopata Silaha leo, wapo watakaokufa, kutoroka na wengine watakekwa. Leo sina raha kabisa. Wapo wanajeshi wa kujitolea kutoka Marekani na Uingereza.

Hadi Muda huu Urusi Wameshindwa kufika Viwandani Walipo. Mapambano yanaendelea kama kawaida. Ila kesho watazidiwa. Uzuri walishajiandaa na Mahandaki kwa mwezi Mzima. Tangu Tarehe 15 April 2022 Wamegoma kijisalimisha hadi leo.

Azov wamelipua kifaru cha Urusi T-72B
 
Urusi wanamtaka Komando na Kiongozi wa Kikosi cha Azov Denis Prokopenko, kagoma Jisalimisha. Kafanya kazi ya kutukuka tangu Vita ianze. Urusi imewachukua siku 55. Hapa Mariupol kila siku ni vita ya Urusi na Azov hadi leo. Snipers wetu 9 wamefanikiwa kutoroka. Wamesema Risasi zikija wanarudi
20220420_152133.png
20220420_152128.jpg

Commander of the #Azov Regiment Denis Prokopenko.
 
Komando wa Azov ni Lieutenant Colonel kasema Vita isitishwe kwa muda ili Wananchi waweze kuhamishwa na kihamisha watu walipumiza na Marehemu ambao wqnahitaji heshima wazikwe kwa heshima. Yeye kasema hatajisalimisha. Denis ana medani za Vita, kasoma Denmark Uingereza na Marekeni. Kapitia Cuba mika Miwili. Bado anaamini wakipata Silaha wanaweza Ukomboa Mji wa Mariupol. Anadai sasa Urusi hawaji na Vifaru wala Askari wa Miguu. Wanawashambulia kwa ndege na Makombora ya Kulipua ndege yamewaishia
20220420_152856.jpg
20220420_152823.jpg
 
Back
Top Bottom