Slava Ukraine [emoji1255]Kufa ni mipango ya Mungu sio Matakwa ya binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai na kuiona leo. Kila binadamu ana misukosuko. Mrusi anapigwa balaa. Soon tutakuwa active.
Nipo gado na updates za kuwaeleza jinsi Urusi anakung'utwa zinaendelea.
Mwezi wa kumi sasa Urusi anapambana kuiteka Bakhumut lakini anatoa kamasi tu.
Slava Ukraine 🇺🇦Kijana wa Urusi, Denis Dyrkin kaenda na Maji. Huyu alikuwa Blogger
View attachment 2602491View attachment 2602492
Slava Ukraine [emoji1255]Kifaru cha Urusi aina ya BMPs kimekwenda na maji huko Wilayani
Chervonopivka Mkoa wa Luhansk
View attachment 2602505
Slava Ukraine [emoji1255]Jamaa wa Lori kahonga Basi lililobeba Wanajeshi wa Urusi huko Urusi Moscow [emoji1787][emoji1787]
View attachment 2602499
Slava Ukraine [emoji1255]Hapa unawaona Wavamizi wa Kirusi wangapi?
View attachment 2602536
Slava Ukraine [emoji1255]Warusi wengine wamejifukia huku
View attachment 2602563
Slava Ukraine [emoji1255]Naibu Waziri wa Ulinzi wa Urusi, Colonel-General Mizintsev kaondolewa. Anahusika na Uvamizi wa Mariupol na Bucha
View attachment 2602573
Slava Ukraine [emoji1255]Bakhmut mapambano yanaendelea. Wavamizi wanataka kuchukua ardhi yetu. Wamejawa tamaa na Mali za jirani. Mwezi wa 10 sasa tunapambana nao hapa Bakhmut. Wavamizi warudi kwao Urusi
View attachment 2602820
Slava Ukraine [emoji1255]Leo ni zaidi ya siku ya 400. Wavamizi wanatuonea na kutuua bila kosa kuwatendea. Nasi tutazidi kujihami. Mrusi atakayekuja mbele yetu halali yetu. Kwani ukiwa na Uwezo lazima umvamie jirani? Orcs rudini kwenu Urusi. Acha kuangamiza kizazi cha Ukriane. Hamtatuua mtumalize. Kizazi cha Ukriane kila siku kinazaliana
View attachment 2602823
Yes - Exactly. https://jamii.app/JFUserGuide Putin