kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava Ukraine [emoji1255]Kufa ni mipango ya Mungu sio Matakwa ya binadamu. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kutupa uhai na kuiona leo. Kila binadamu ana misukosuko. Mrusi anapigwa balaa. Soon tutakuwa active.
Nipo gado na updates za kuwaeleza jinsi Urusi anakung'utwa zinaendelea.
Mwezi wa kumi sasa Urusi anapambana kuiteka Bakhumut lakini anatoa kamasi tu.