Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nahisi Bakhmut inaweza ikawa ngumu kwa Mrusi sababu, Boss wa Wagners alipsema anaondoka Bakhmut wasipompa Silaha, ni kweli hajapewa.

Sasa nineona boss wa Chechen Ramzan Kadyrov, akiagiza majeshi yake yaende Bakhmut kama Wagners wataretreat. Natamani wauane wao kwa wao

Wagners wamepigana Bakhmut miezi 10,watakubali kumuachia Chechen ndo abebe sifa?

Wagners silaha zimewaishia.

Ukraine wanajeshi wachache, akifa mmoja ni pengo kubwa. Urusi hata wafe 50 hawajali

Wagners wakipewa silaha zinalipuliwa kitu ambacho k8nafanya Urusi ione ni Uzembe na hawana Uchungu na Vifaru vya Urusi ndo maana kapunguza supply kwao
1391223.jpg
20230506_231430.jpg
 
Urusi wamepanic. Wameanza kuikimbia Melitopol hata majeshi ya Ukraine hayajafika🤣🤣. Angalia foleni watu wanavyoukimbia mji
 
Wale Wavamizi walioingia kuua kizazi cha Ukraine na kuharibu miundombinu wamedakwa

 
Kikosi cha 47th mechanized brigade kimeamua kutumia hii alama kama alama yao mpya ya Utambuzi
20230507_044447.jpg
 
Hawa ndo kikosi cha 47th mechanized brigade. Pamoja na mambo mengine, wanasifika kwa kujua kuficha zana za vita. Hadi ulipue kifaru chao kazi ipo. Hawa wanajipaka tope masizi na rangi zinazoendana na mazingira ila wasionekane. Wenyewe kitaalamu wanaita Camouflage. Unaweza ona kichuguu kumbe mtu. Au kifaru
20230507_045039.jpg
20230507_045410.jpg
20230507_045503.jpg
20230507_045506.jpg
20230507_045509.jpg
20230507_045513.jpg
20230507_045523.jpg
20230507_045527.jpg
20230507_045530.jpg
20230507_045541.jpg
20230507_045545.jpg
20230507_045628.jpg
20230507_045633.jpg
20230507_045636.jpg
20230507_045649.jpg


20230507_045825.jpg
20230507_045832.jpg
20230507_045837.jpg

 
Back
Top Bottom