Nahisi Bakhmut inaweza ikawa ngumu kwa Mrusi sababu, Boss wa Wagners alipsema anaondoka Bakhmut wasipompa Silaha, ni kweli hajapewa.
Sasa nineona boss wa Chechen Ramzan Kadyrov, akiagiza majeshi yake yaende Bakhmut kama Wagners wataretreat. Natamani wauane wao kwa wao
Wagners wamepigana Bakhmut miezi 10,watakubali kumuachia Chechen ndo abebe sifa?
Wagners silaha zimewaishia.
Ukraine wanajeshi wachache, akifa mmoja ni pengo kubwa. Urusi hata wafe 50 hawajali
Wagners wakipewa silaha zinalipuliwa kitu ambacho k8nafanya Urusi ione ni Uzembe na hawana Uchungu na Vifaru vya Urusi ndo maana kapunguza supply kwao