Hawa jamaa kuikamata Bakhmut watafanikiwa. Swali ni watadumu yako wiki ngapi?
Sababu ni sehemu ya kimkakati ya Ukraine. Bakhmut ngumu hata Urusi wanajua.. Watashinda pambano ila sio Vita.
Warusi wanakufa sana Bakhmut, wanajifanya hamnazo tu
Nahisi Bakhmut inaweza ikawa ngumu kwa Mrusi sababu, Boss wa Wagners alipsema anaondoka Bakhmut wasipompa Silaha, ni kweli hajapewa.
Sasa nineona boss wa Chechen Ramzan Kadyrov, akiagiza majeshi yake yaende Bakhmut kama Wagners wataretreat. Natamani wauane wao kwa wao
Wagners wamepigana Bakhmut miezi 10,watakubali kumuachia Chechen ndo abebe sifa?
Wagners silaha zimewaishia.
Ukraine wanajeshi wachache, akifa mmoja ni pengo kubwa. Urusi hata wafe 50 hawajali
Wagners wakipewa silaha zinalipuliwa kitu ambacho k8nafanya Urusi ione ni Uzembe na hawana Uchungu na Vifaru vya Urusi ndo maana kapunguza supply kwao
View attachment 2612598View attachment 2612599
Anazuga tu huyo. Hilo ni igizo na wala sio uhalisia wa medani.Chechen wana Mikwara balaa🤣🤣🤣 Ngoja wakutane na AZOV
View attachment 2612626
Walivyopakiwa kama nguruwe vileHawa Warusi wameuawa katika mapambano huko Nova Basan, Mkoani Chernihiv. Inadaiwa Warusi hawaondoki na mizoga yao sababu hawa wau wanaingia Vitani wakiwa wameshalipwa.
View attachment 2614039
Slava Ukraine [emoji1255]Kikosi cha Ukriane "Terra unit" wakikipoga Bakhmut[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2605024
Slava Ukraine [emoji1255]MOSCOW wametaharuki kuona kifaa cha Ukraine kikiambaa kwenye aga lao[emoji1787][emoji1787]
View attachment 2605514