Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wakuu, Majeshi ya Ukriane yanafanya vizuri sana Mkoani Zaporizhzhia. Yameweza kusonga mbele sehemu kibao kama Shirokaya Balka, Malaya Tokmachka, Novopokrovka nk
20230714_010709.jpg
 
Sasa hivi Ukriane wanaadvance huko Bakhmut. Warusi wanaacha miili ya Wanajeshi wao nyuma. Hawajulishi ndugu wa marehemu wala nini. So wanajeshi wa Ukriane wakikuta namba ya ndugu huwa wanawapa taarifa ya ndugu yao kufa. Mmoja ni hiyu aliandika namba ya mama yake kwenye karatasi na wamepigia wakamwambia mtoto wao anavyo rutubisha ardhi ya Ukraine
View attachment 2682508

Slava Ukrain
 
Back
Top Bottom