Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Safi sana licha ya kuwa bado sijafahamu maendeleo ya ukombozi yanaendeleaje....Slava Ukraine
 
Safi sana licha ya kuwa bado sijafahamu maendeleo ya ukombozi yanaendeleaje....Slava Ukraine
Yanaendelea Vizuri. Kumbuka sisi Majeshi yetu sio mengi kama wenzetu. So tunaenda kwa step. Wakiua mmoja hakikisha wao wanakufa angarau 20. Wagners washapoteana. Urusi inahofia kupigwa kisasi hivyo nguvu zinawekwa ndani ya nchi yao. Vita tutashinda plan ilikuwa Desemba mwaka huu ya Mungu mengi. Nani alijua PMC watapoteana? Nani alijua Warusi watarudishwa nyuma kila siku? Ukriane inafanya vizuri Frontline sababu inagain na haipotezi
 
Safi sana...Slava
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…