kawombe
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 14,239
- 15,876
Slava UkraineWarusi walivyo pelekewa chai na Jeshi la Ukraine
View attachment 2748155
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Slava UkraineWarusi walivyo pelekewa chai na Jeshi la Ukraine
View attachment 2748155
Slava UkraineDrone ya Ukraine ikiwapelekea dawa Warusi
View attachment 2748160
Salaam Wakuu,
Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine. Picha zinahusu mafanikio ya Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane akiwa na PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012
Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022
NB: Video kama haija vizuri kwenye screen yako, ijaze kwa kuizoom.
ANGALIZO: Baadhi ya picha zinatisha.
View attachment 2284112
View attachment 2284113View attachment 2284114
View attachment 2518400View attachment 2518401View attachment 2518402View attachment 2518403View attachment 2518404View attachment 2518405View attachment 2518406View attachment 2518407
Russia ni nchi ya hatari sana Kwa uhai wa Afrika na watu wake.Ingetakiwa supporter wote wa Ukraine mkamatwe mnyonge !! Russia is a friend to Africa and west are our big enemies
Huo ni mtazamo wako.Ingetakiwa supporter wote wa Ukraine mkamatwe mnyonge !! Russia is a friend to Africa and west are our big enemies
Sema ni mtazamo wake tena wa hatari.Huo ni mtazamo wako.
Hii ni Ukriane sio Afrika. Mtu yoyote anaye teka nchi na kuikalia kimabavu ni Mkoloni. Siungi mkono Mkoloni yoyote hata kama ni ndugu yangu. Warusi wanalima, wanachimba madini, wanachukua chuma kutoka Ukraine na kupeleka Urusi. Yote wanafanya kwa mabavu kwa mtuti wa Bunduki. Siwezi kuwaunga Mkono. Wakimalizana na Ukriane watahamia Afrika. Nani wa kumfunga paka kengere?Ingetakiwa supporter wote wa Ukraine mkamatwe mnyonge !! Russia is a friend to Africa and west are our big enemies
Slava Ukrainepatrol ships za Urusi zimekwenda na maji
View attachment 2749635