Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi
Wavamizi kutoka Urusi wameuliwa huko Klishchiivka
Mvamizi kutoka Urusi anaulizwa, unasikia? Siwasikiii🤣🤣
ANDRIIVKA 🇺🇦 ilivyo kombolewa
Uwanja wa ndege wa Izyum leo mchana
Wavamizi wa Urusi wamepelekewa moto hadi maji wanaita mma
Kifauru cha Urusi kilijaribu kuzuia mashambulizi ya Ukraine huko Zaporozhye, kikaenda na maji
Mpambano huko Klishchiyivka
Drones za Ukraine zinavyo watesa Wavamizi kutoka Urusi
Drones za Ukraine zinavyo watesa Wavamizi kutoka Urusi
Hadi sasa, 54% ya ardhi aliyokuwa umekaliwa kimabavu na Wavamizi kutoka Urusi, imekombolewa. Mapambano yanaendelea
Logistics za Wavamizi bana. Hafi Tairi shida. Watakoma
Vijana wa Moscow wamedakwa