figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #2,981
Ila risasi za Ukraine zinachanachana balaa... Warusi nilijuaga miili yao chuma kwa jinsi wanavyo chonga maneno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni moto kwa kwenda mbele. Hongereni sana japokuwa sipendi vita Ila inabidi basi tuu kazi iendelee.Lieutenant Colonel UFSNK Dmitry Savchenko kutoka Saratov Urusi, amechanwachanwa na Kombora. Sasa ni mbolea ya Ardhi ya Ukraine
View attachment 2265094
Atapeleka habari kwa waliotangulia mbele. Kazi iendelee.Colonel Sergei Postnov alikuwa mkuu wa Kitengo cha habari. Huyu atakuwa amekukufia Izium. Leo ilikuwa nyakua nyakua ndani ya Ukraine.
View attachment 2265099
Ni kheri kazi iishe chap; watu watulie wafanye shughuli za maendeleo sio vita vya kibabe 😀 kuvamia taifa la UkraineWalishaona Urusi hana madhara ndo maana Wamekija full. Marekani wamsema Urusi ilikiwa overrated kwa uwezo wa Silaha.
Leo umetuamlia yaani ni habari juu ya habari....pongeziVifaru vya Urusi vinawaka kama mabua
View attachment 2265656
Habari zipo nyingi. Uvivu tu wa kupost. Warusi Wana hali mbaya ndo maana kila siku wanaingiza Vifaru vipya sababu vile vya kwanza tumeshavilipua vyoteLeo umetuamlia yaani ni habari juu ya habari....pongezi
[emoji23][emoji23] [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Odessa hakuna vita, hawa jamaa wameamua kuifuata Vita Frontline huko Kherson. Wana Usafiri wao.
View attachment 2265690