Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Frontline ya Urusi inazidi kupukutishwa
IMG_20220713_064452_186.jpg
IMG_20220713_064437_306.jpg
IMG_20220713_064411_993.jpg
IMG_20220713_064424_251.jpg
IMG_20220713_064235_982.jpg
 
Kazi nzuri ya Kikosi cha 59th Motorized Brigade
 
Kifaru cha Urusi aina ya MT-LBVM/K kimetekwa maenek ya Sumy sasa kimepakwa Kherson kifanya kazi za Ukraine
 
Vifaru aina BTR-D vya Urusi, vimehatibiwa na Kikosi cha 28th Mechanized Brigade mkoani Kherson
 
Back
Top Bottom