Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Sema lina nguzo balaa... Tudeal na nguzo
800_0_1655698742-5625 (1).png
 
Urusi siku ya 6 mfululizo wanaendelea kuchoma moto mashamba ya ngano nchini Ukraine. Hii Vita au wivu? Wanaona Ukraine ina Udongo wa Rutuba tofauti na nchi yake. Ndo maana hayo maeneo anayataka awe analima. Haya ni mashamba ya wananchi sio ya Serikali
20220727_113747.jpg
 
Yaani Daraja la Antonovsky nilitamani lishuke kabisa. Ila naona kuna nondo bado zinashikilia japo hamna kifaa kizito kinaweza kukatiza. Ukraine tujipange upya waondoke na nguzo.. Si haba. Urusi kama wana akili wakimbie haraka. Ikipigwa hapa tena, hapasalii kitu
View attachment 2305507
Hilo daraja labda pikipiki na watembea kwa miguu, hapo hakuna gari itayopita
 
Hawa wakienda Tanzania, madaraja wanapigapiga. Lakini ya kwao ni imara. Pamoja na mashimo haya, bado watembea kwa miguu wanapita. Ya kwetu mvua tu inalibeba.
 
Warusi wanajiandaa kwa madaraja ya kuelea. Hii ni chakula kwa Ukraine.. Kombora moja linaenda na daraja. Hawa washikaji tushawamudu. Ant-missile zao zimeshindwa kuzuia makombora yetu. Ilikuwa Test tu. Leo havuki Mtu.. Wanajipanga nasi tunajipanga kuhusu hili daraja. Ngoja HIMARS zisogee karibu.. Round moja tu daraja majini. Cremea kichwa washaanza Mwagia maji
 
Leo tumeona Vifaru vya Urusi Nchini Mongolia. Wameenda kufanya nini? Wanawashwa na anatapatapa sana..
 
Yaani Daraja la Antonovsky nilitamani lishuke kabisa. Ila naona kuna nondo bado zinashikilia japo hamna kifaa kizito kinaweza kukatiza. Ukraine tujipange upya waondoke na nguzo.. Si haba. Urusi kama wana akili wakimbie haraka. Ikipigwa hapa tena, hapasalii kitu
View attachment 2305507
Askari wote wa Urusi wazuiwe wakamate kama ndege usiku kwenye kiota

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu, Urusi baada ya kuona daraja la Antonovsky limebomolewa, wameogopa kuzingirwa, wameamua kuanza kuretreat. Wanaelekea Crimea. Ila daraja ndo Vifaru havipiti tena.. Wanavuka kwa Miguu. Wameanza kuikimbia Kherson wanaelekea Peninsula ya Crimea. Donbas napo hapakaliki.
 
View attachment 2306106
Safi sana. Wanavyokimbia kama nyoka kaona moto 😂😂. HIMARS haijawaona ikawa block na kuteketeza fisi hao.
 
Back
Top Bottom