Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Jama wameweka Uzio balaa. Fikra mwezi na Nusu Urusi wameshindwa kuuvuka. Km 20 kutoka kwenye Uzio ndo HIMARS zipo
Kama HIMARS iko 20Km nyuma ya uzio wa ukraine, ina maana kutoka kwenye uzito wa ukraine wale nyang'ao wako umbali gani. Mie nilifikiri HIMARS ziko nyuma ya uzio wa Ukraine kwa zaidi ya 80KM.
 
Nadhani wanaenda kumtenda kama Warusi wanavyowatendea. Kula na kulipa ndo mtindo.
Ila wasimpige msusa maana muda wowote anaweza kuachia uharo akawachafua bure 😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ila wasimpige msusa maana muda wowote anaweza kuachia uharo akawachafua bure 😂😂😂🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Kwa Azov ni tofauti. Wakifika maeneo "wanamtupa".
 
IMG_20220809_065233_236.jpg
 
Hizo zitatumika kuwageuza mizoga wao wenyewe. Dreva aliona isiwe tabu akasepa kwa miguu. Labda aliona drone inamnyemelea kwa juu. 😂😂😂
Machale yalimcheza akachomoka nduki na kuachia mtaji ili wenye nao wajiokotee
 
Back
Top Bottom