Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Hapa ni balaklia Mkoani Izium. Urusi wameondoka mbio na kutelekeza vifaa vyao. Mwanzo mwa Video utaona radio jamming station aina ya RP-377UVM1, kazi yake kunasa na kuingilia mawasiliano ili watu wasiwasiliane kwa radio

Hawajui Ukraine walipo Frontline wana full internet hivyo wanapigiana online call kama Whatsapp, telegram, Signal, nk kwa msaada wa Starlink satellite internet terminals. Hawategemei sana radio calls za kizamani japo nazo zatumiwa
 
Warusi wanajuta
IMG_20220907_232738_213.jpg
 
Warusi walinaribu kuretreat kwa kutoroka huku umevaa nguo za kiraia bila kujua Walikuwa wamezungukwa pote na Majeshi ya Ukraine. Haoa ni Balakliia
 
Back
Top Bottom