Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Ndiyo maana anahaha. Wanajeshi wengi waliopukutishwa ni wale wa jeshi la Urusi. Maana walienda wameongozana kama wanaenda kwenye harusi. Hawana uzoefu na skills za kupigana.

Brigedia zinazoongozwa na Wagner group na zile za separatist ndo zinazoleta defense kubwa. Sema tu hawana silaha za kisasa. Ni kweli wamepunguzwa nguvu lakini jamaa wamekomaa maana ndo maisha yao na ndo wanavyoendesha maisha yao.
Sasa inakuwaje Mbabe anakodi tena vikundi vya kigaidi vimsaidie mapambano? Majeshi/Askari aliyofundisha yeye kama Mrusi aliwapa mbinu outdated. Hao Wagner group ni wasakatonge. Wakipata greener pastures watahama au watamgeukia. Mrusi amesahau tena kale kamsemo ka vijana "Hapendwi mtu ila Pochi"
 
Mtu anayepigana apate pesa hawezi kuwa serious kama yule anayepigania sababu maalum kama ukombozi n.k

Ingawa siku hizi kutokana na sababu mbali mbali kukodi Jeshi hakuepukiki
 
Mtu anayepigana apate pesa hawezi kuwa serious kama yule anayepigania sababu maalum kama ukombozi n.k

Ingawa siku hizi kutokana na sababu mbali mbali kukodi Jeshi hakuepukiki
Ndio. Lakini wale utakaowakodi/Ajiri inatakiwa wawe chini ya Usimamizi wako na sio kama ilivyo kwa Mrusi eti Brigedia nzima inaongozwa na Mtu wa mshahara-Wagner (Mamluki).
 
Jeshi lenye troops laki tisa ,na reserve milioni 1.2 useme linakuwa na shortage ya personnel [emoji16][emoji16][emoji14]stop lie bro
Utakuwa ni upambu wa mwisho kama huna habari kwamba Putin anawapa offer wafungwa ambao wako tayari kwenda kupigana Ukraine then after six months watakuwa free from their convictions.
 
Bilohorivka imekombolewa huko Luhansk
20220920_033134.jpg
20220920_033126.jpg
20220920_033116.jpg
20220920_032825.jpg
 
Back
Top Bottom