Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Nasikia wanaume wameanza kukomboa vijiji vya Kherson
Kherson mambo bado magumu sana. Washenzi wamekaza fuvu. Kuna maeneo tulikuwa tumeyachukua wametunyang'anya tena. Drones za Iran zinasumbua kule. Labda mpaka dawa ya Drones ipelekwe huko. Kiufupi kwa Kherson sehemu kubwa hatuja advance karibia wiki ya 4 sasa.

Priority kwa sasa ni Donbas.
 
Kherson kimewaka warusi hoi
 
Nasikia wanaume wameanza kukomboa vijiji vya Kherson
Kherson na Donesk watu washasogea 50km deep...

Nimeamini alichosema Zelensky kuwa watakomboa maeneo mengi wiki hii kabla baridi na mvua hazijaanza, maana zikianza wataweka pause na ndo maana wamefuta kuitwa kwa conscripts

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kherson mambo bado magumu sana. Washenzi wamekaza fuvu. Kuna maeneo tulikuwa tumeyachukua wametunyang'anya tena. Drones za Iran zinasumbua kule. Labda mpaka dawa ya Drones ipelekwe huko. Kiufupi kwa Kherson sehemu kubwa hatuja advance karibia wiki ya 4 sasa.

Priority kwa sasa ni Donbas.
Chanzo cha habari yako ni kipi?
 
Ndo maana Warusi wakikamatwa wanakuwa wamevaa manguo mengi. Ni ili wakikamata wajifanye ni raia. Do maana tunataka vita ipiganwe msituni, utasema raia msituni umefuata nini
Screenshot_20221003-083218.png
 
Kherson mambo bado magumu sana. Washenzi wamekaza fuvu. Kuna maeneo tulikuwa tumeyachukua wametunyang'anya tena. Drones za Iran zinasumbua kule. Labda mpaka dawa ya Drones ipelekwe huko. Kiufupi kwa Kherson sehemu kubwa hatuja advance karibia wiki ya 4 sasa.

Priority kwa sasa ni Donbas.
Jana, Kuna sehemu moja huko Kherson forces za Ukraine zilikuwa zimekusanya vifaru kwa ajili ya kupiga counter offensive, ile formation ikaonwa na reconnainsance aircraft moja ya warusi ikatuma coordinates, vimelipuliwa vifaru vingi sana vya Ukraine. Sijapata taarifa kuhusu hali ya kivitw huko Kherson kwa siku ya leo,Sijui kama Waukraine walikaza au walirudishwa nyuma ngoja nicheki
 
Mkuu; Umesema vimelipuliwa vifaru vingi sana - ungetoa walau makadirio kwani hata vile vya Urussi kwenye ule mlolongo wa 64 km yalitolewa makadirio kabla ya exact figure. Ninavyoifahamu Ukraine haiwezi kuwa na mavifaru meeengi kiasi kwamba inashindikana kuvihesabu. Hebu cheki pia chanzo cha Taarifa yako vizuri.
 
Hawa ni LEGION. Urusi walijifanya kujibu mashambulizi, ikabidi wawazunguke na kuwateketeza wote. Nia ilikuwa wajisalimishe, wao wakarusha risasi
View attachment 2375462
Hizo ndo akili mbovu za majeshi ya Mrussi. Yaani unafahamu kabisa kwamba hapo umeshataitiwa ndi! na kilichobaki tu sasa ni kukubaliana na matokeo lakini eti unajitutumua kurusha risasi. Ona sasa imekula kwao. 😂 😂
 
Tunawaambia jisalimishe, wanajidai kutoroka. Madhara yake ndo haya. Wanadanganyana kwamba vifaa vya Ukraine haviba uwezo wa kuwaona
View attachment 2375420
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Eti vifaa vya Ukraine havina uwezo wa kuwaona. O.K. sasa wamejua ukweli ni kwamba Vifaa vya Ukraine vina uwezo wa: (1)kuwaona, (2)kuwadhibiti wasitoroke na (3)kuwaangamiza /Kuwateketeza moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom