Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Wazazi na ndugu huko Urusi wanalalamika kuwa jamaa zao waliokuwa mobilized walioenda huko vitani Ukraine hawana chakula, na mahitaji mengine ya msingi!
View attachment 2400960
Oh! Wamesahau kutaja lile la msingi zaidi kwamba wengi wao wanageuzwa kuwa mbolea kwenye ardhi ya Ukraine. Wamshauri au wamshinikize mzee Putin aachane na hiyo vita na awarudishe nyumbani kwao Urussi hao mobilised kabla hawajamalizwa.
 
Admiral Makarov, the carrier of Caliber cruise missiles. Inafuatiliwa
20221029_124457.jpg
 
1667049654331.png

Madikteta sijui ni kwa nini ni waoga sana. Sasa huyu na wenzake wanajadili kuhusu Vita ya Ukraine. Yeye kajitenga na wenzake mbaali sana na hao wenzake kawawekea walinzi wa kuwalinda.

Anaogopa watamdhuru? Wanaosema huyu Jamaa ni Imara sana kwa kuwa tu anacheza Judo, wanakosea sana. Ndani kabisa Moyoni mwake inaonesha ni mtu muoga sana.
 
Nimeona footage hiyo navy drone inashambuliwa na helicopter ila kitu kinaendelea songa mbele...

Nimesoma sehemu meli zilizoharibiwa vibaya ni 3
Na zote zilikuwa za maana kwa Urusi
Puttin alikosea kuonesha kama atatumia mabomu ya Nyukilia. Maana kwa sasa silaha ambayo hajaitumia ni hayo mabomu ya Nyukilia.

Na imethibitika kuwa kiteknolojia ya kivita, kumbe warusi wako nyuma sana. Wenzao wamewekeza kwenye ufanisi wa silaha wao wamewekeza kwenye ukubwa wa Silaha. Anapigwa balaa.
 
View attachment 2401213
Madikteta sijui ni kwa nini ni waoga sana. Sasa huyu na wenzake wanajadili kuhusu Vita ya Ukraine. Yeye kajitenga na wenzake mbaali sana na hao wenzake kawawekea walinzi wa kuwalinda.

Anaogopa watamdhuru? Wanaosema huyu Jamaa ni Imara sana kwa kuwa tu anacheza Judo, wanakosea sana. Ndani kabisa Moyoni mwake inaonesha ni mtu muoga sana.
Akikaa Nao karibu wanaweza kumuwasha makofi kwa maamuzi yake ya kijinga.

Hata yule wetu alikuwa analindwa na mitutu hatari. Utadhani tulikuwa kwenye state of war. Tuna kila sababu kumshukuru mungu kwa wema na huruma yake.
 
Back
Top Bottom