figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #7,921
Drone zilivyotinga bandarini kulipua meli za Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Putin alikuwa anapewa ripoti ya silaha walizonazo zilivyo nyingi basi anaona Urusi iko vizuri. Masilaha mengi wamepitwa na wakati. Aliona namna ya kuya dispose ni kuivamia Ukraine akiamini kuwa wanamwogopa sababu walimwachia Crimea.Puttin alikosea kuonesha kama atatumia mabomu ya Nyukilia. Maana kwa sasa silaha ambayo hajaitumia ni hayo mabomu ya Nyukilia.
Na imethibitika kuwa kiteknolojia ya kivita, kumbe warusi wako nyuma sana. Wenzao wamewekeza kwenye ufanisi wa silaha wao wamewekeza kwenye ukubwa wa Silaha. Anapigwa balaa.
Mbolea hiyo. Mwaka huu hakuna kununua mbolea, samadi inatosha sana. Kherson matikiti yatakuwa makubwa sana.Hawa mobilized wanawaonea.. Wameambiwa waende Frontline wengine hawana bunduki wala vifaa vya jeshi na bado wanashangilia. Hivi wanajua muziki wa Frontline ya Ukraine? Ngoja tuone
View attachment 2401297
Salamu zimeshafika kuwa anatakiwa aiondoke hiyo meli maana wanaume wanaiwinda. Itakuja kuzamishwa mazima. Siku wazee wa target (HIMARS) wakinasa cordinates, hatutasikia tena habari za "sustained minor damage".
Work done and well done.Sevastopol tishafanya yetu
Heshima yako Mkuu. Mashambulizi tutegemee darajani Mungu akipendaWork done and well done.
Heshima yako Mkuu. Mashambulizi tutegemee darajani Mungu aWork done and well done.
Jamani! Huyo mzee Putin hajakosea. Ujue Ubongo au Akili ikifikia ukomo wa kufikiri huwa tunaandikaga End of Thinking Capacity kwa kifupi e.t.c. Mzee Putin kwa akili alizokuwa nazo alifikia hapo na hakuona kitu kingine zaidi ya kuonesha atatumia mabomu ya Nuklia. Hakuweza kufikiri zaidi tena. Akili ilikuwa "kalas".Puttin alikosea kuonesha kama atatumia mabomu ya Nyukilia. Maana kwa sasa silaha ambayo hajaitumia ni hayo mabomu ya Nyukilia.
Na imethibitika kuwa kiteknolojia ya kivita, kumbe warusi wako nyuma sana. Wenzao wamewekeza kwenye ufanisi wa silaha wao wamewekeza kwenye ukubwa wa Silaha. Anapigwa balaa.
Daraja likishambuliwa tena mbona mtamuua Putin kwa pressure. Likivunjwa daraja ni sawa na kuiminya kende Crimea na ku paralyze kabisa military supplies kupitia Crimea.Heshima yako Mkuu. Mashambulizi tutegemee darajani Mungu akipenda
Kumbuka Maji ni uhai. Ndege huyo kapewa maji i.e. Kapewa uhai.Ni Ishara nzuri ; ni ishara ya uhai kwa Ukraine katika vita hii. Ni ishara ya USHINDI wa kishindo kwa Ukraine.Huyu ndege kawaganda Frontline wa Ukriane kila wanapoenda kisa tu wamempa maji🤣🤣. Wanyama tuwatendee mema,
View attachment 2401291
Yes! Hayo ni mashambulizi ya busara na akili. Sio kupiga makombora maeneo ya makazi ya watu wasio askari unaua raia wasio na hatia, unakwepa na unaogopa kuingia ulingoni ukapambane na vijana machachari wa Frontline ya Ukraine wakuoneshe kilichomnyoa kanga manyoya
Huyo jamaa eti hasikii maumivu na damu zimejaa usoni. - hilo si ni wenge la risasi? Akitulia (akiwa hai) atayasikia maumivu, la akiwa mzoga ni kweli hatayasikia maumivu itakuwa ni poa tu - Ni mbolea tayari.Wale Machen(Tiktokers) wamepelekewa moto na Ukraine. Wanadai wengi wamejeruhiwa ila hawana wasiwasi. Wapo imara eti hata majeraha hayaumi. Angalia😂😂😂
View attachment 2401293
Akikosa huduma ya kwanza; anatangulia mbele za hakiHuyo jamaa eti hasikii maumivu na damu zimejaa usoni. - hilo si ni wenge la risasi? Akitulia (akiwa hai) atayasikia maumivu, la akiwa mzoga ni kweli hatayasikia maumivu itakuwa ni poa tu - Ni mbolea tayari.
Hivi wanajua muziki wa Frontline ya Ukraine? Hilo inaonekana wamefichwa- hawakuambiwa watajua huko mbele. Wanatembea na kuimba wanadhani wanaenda jandoni. Ngoja wafike huko mbele waendako ndipo watajua walikuwa hawajui. 😂 😂Hawa mobilized wanawaonea.. Wameambiwa waende Frontline wengine hawana bunduki wala vifaa vya jeshi na bado wanashangilia. Hivi wanajua muziki wa Frontline ya Ukraine? Ngoja tuone
View attachment 2401297
Mungu hamtupi wala hamwachi mja wake pindi aombapo msaada kwake.Heshima yako Mkuu. Mashambulizi tutegemee darajani Mungu akipenda