Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Inasemekana kwamba Askari wa Urusi huko Luhansk, katika axis ya Svatove-Kreminna, wamepewa order wafanye wawezavyo kuikamata tena barabara ya P66. Order waliyopewa ni kuwa bila kujali idadi ya askari watakaokufa, hiyo barabara lazima ikombolewe. Waukraine wanasema kuwa Urusi imekuwa ikituma wimbi baada ya wimbi katika uelekeo huo na imekuwa ikiwaua mamia kwa mia kupitia mizinga.

Inaelekea Urusi inaona kuwa kama hiyo barabara isipokombooewa basi Supply ya vifaa kwenda kusini itakuwa ngumu sana!
 
Inaonekana pande zote mbili huko wana malaki kwa malaki ya askari manake tangu tuambiwe maelfu kwa maelfu ya askari wanakufa kila siku ni mda mrefu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyu Elon Musk inaelekea sasa anajiona amekuwa mkubwa kuliko serikali ya Marekani. Ameanza kuringia Starlink yake. Jana amekata Internet katika baadhi ya maeneo ya Vita huko Ukraine, na jeshi la Ukraine limepata shida kwa sababu linategemea internet hiyo.
Musk alisema anafund bure, lakini sasa analilia pesa.

Musk ajue tu kuwa hii issue imeshakuwa ya "masilahi ya Kitaifa ya Marekani" . Akizingua watamzingua
 
Inasemekana kwamba Askari wa Urusi huko Luhansk, katika axis ya Svatove-Kreminna, wamepewa order wafanye wawezavyo kuikamata tena barabara ya P66. Order waliyopewa ni kuwa bila kujali idadi ya askari watakaokufa, hiyo barabara lazima ikombolewe. Waukraine wanasema kuwa Urusi imekuwa ikituma wimbi baada ya wimbi katika uelekeo huo na imekuwa ikiwaua mamia kwa mia kupitia mizinga.

Inaelekea Urusi inaona kuwa kama hiyo barabara isipokombooewa basi Supply ya vifaa kwenda kusini itakuwa ngumu sana!
Ripoti za kiintelijensia zinasema kuwa wamepeleka wanajeshi wengi, lakini haijaleta impact kwenye battlefield. Sababu zinazotolewa ni mbili
1. Wanajeshi wa Urusi wanaopelekwa hawana uzoefu wa frontline ukilinganisha na Ukraine. Likely mobilized troops ndo wanapelekwa frontline.
2. Wanatumia vifaa duni. Hii inasababisha wanakufa wanajeshi zaidi ya 800 kwa siku. Hiyo ni takwimu ya Jumatano.

Kitu pekee kinachokwamisha frontline ya Ukraine isisonge mbele kwa kasi (slow advance) ni shelling wanayoifanya Russia. Uhaba wa system za ulinzi wa anga ndo vikwazo kikubwa.
 
Inaonekana pande zote mbili huko wana malaki kwa malaki ya askari manake tangu tuambiwe maelfu kwa maelfu ya askari wanakufa kila siku ni mda mrefu sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Casualties are another factor. Both Russia and Ukraine have suffered tens of thousands of dead and wounded. Precise figures are not available. Neither side wants to admit the damage caused by the other.

Hii habari nimeitoa BBC.
 
Hii vita Mrussi alichemka kimahesabu. Haitamwacha salama.
Kwa mwenendo wa vita ulivyo mpaka sasa, iwe jua au mvua Ukraine atashinda hii vita. Sababu kuu ni nne tu

1. Kitendo cha G7 kusema kuwa ataisaidia Ukraine hata kama vita itachukua muda mrefu hawataacha kuipa msaada wa kijeshi.

2. Kitendo cha NATO kuisaidia Ukraine, hutoboi hata ungekuwa nani. Russia lazima atatepeta tu maana Iran, Belarus na washirika wa Russia hawana nguvu za kiuchumi.

3. Kitendo cha EU kuahidi kuendelea kuisaidia Ukraine ili waikomboe nchi yao lazima Russia ataishiwa tu pumzi. Nguvu yake kubwa ya kiuchumi anategemea gesi, mafuta, makaa ya mawe, nafaka & mbolea. Nchi za EU zimeanza kupata mbadala wa mafuta, Gesi na makaa ya mawe. Sana sana ataendelea ku survive kwa Nafaka & mbolea kwa soko la nchi maskini (Africa).

4. Kuendelea kuwekewa vikwazo vya kiuchumi kunamfanya uchumi wake Russia usinyae. Mpaka 2025 uchumi wa Russia utakuwa anapumulia gesi.
 
1667649035860.png

Kwa hisani ya Aljazeera.com
 
Back
Top Bottom