Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Magari aina ya Panthera T6 kutoka🇦🇪 United Arab Emirates yameshafika Frontline na yapo kazini
View attachment 2481103
Duh kama na mwarabu naye yuko upande wa Ukraine basi Mrusi sasa inabidi apigane na dunia nzima kitu ambacho kamwe hataweza. Putin kaipotezea heshima nchi yake kwa kiasi kikubwa mno
 
Duh kama na mwarabu naye yuko upande wa Ukraine basi Mrusi sasa inabidi apigane na dunia nzima kitu ambacho kamwe hataweza. Putin kaipotezea heshima nchi yake kwa kiasi kikubwa mno
Vi nchi vinavyomuunga mkono ambavyo ni makoloni yake havina msaada kwake. Labda Iran na North Korea. Putin safari hii hatoboi na analijua hilo.
 
Wakuu, imedaiwa ile picha iliyosambaa juzi Wanajeshi wa Ukraine wakipigwa risasi kwenye handaki, imegundulika hawakuwa Wanajeshi wa Ukraine bali ni Warusi Walivaa sare za Ukraine ili kuwahaadaa Frontline wa Ukraine. Wale wote ni Warusi na mmoja alomiminiwa risasi katambuliwa kwa jina la Milevsky Vitaly. Ametafutwa bila mafanikio ndo wakajua wameuana Urusi kwa Urusi.
View attachment 2480858View attachment 2480860View attachment 2480861View attachment 2480862View attachment 2480868
Hahahaaa.Kosa la kutokuwepo kwa mawasiliano kamili kuhusu pass word. Matokeo yake ndo hivo tena.Wamelimana risasi wenyewe kwa wenyewe. Hongera zenu na Asanteni sana Urussi kwa uzembe wenu huo. Slava Ukraine
emoji1255.png
 
Hawa reconnaissance tunaweza kuwaita wapelelezi, kabla majeshi hayajafika, wao wanakuwa washafika zamani na wanajua jeshi lao litapita wapi na wapi kuna vikwazo. Wanatumia Drones, ndege za Upelelezi Magari, pikipiki nk. Saa nyingine wanajifanya raia wakulima ili kujua kinachoendelea. Then wanatoa taarifa kwa vikosi hali ilivyo. Nawakubali sana.
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Kwanini huwa humiamini kwamba Wanajeshi wa Ukraine wan Morali ya kizi. Hizi picha zote zo Frontline. Hakuna Photoshop hata moja Mkuu. Wala hakuna sababu ya kufamya hivyo.
Slava Ukraine [emoji1255]
 
Duh kama na mwarabu naye yuko upande wa Ukraine basi Mrusi sasa inabidi apigane na dunia nzima kitu ambacho kamwe hataweza. Putin kaipotezea heshima nchi yake kwa kiasi kikubwa mno
Yeah. Tarehe 29/12/2022 walitoa na Walituletea Panthera T6 idadi ikiwa 12. Tarehe 07 January 2023 mzigo ukafika. Tarehe tarehe 10 yakapelekwa mzigoni na Yanapiga mzigo vizuri tu.
20230115_072111.jpg
 
Ongeza na challenger 2 tanks za UK.
Ongeza na Leopard 2 tanks kama Germany atakubali.
Mzigo ukifika wote kelele zitaisha, itakuwa ni bandika bandua.
Vifaa bila rasilimali watu ni bure!, wakae mezani vita viishe waihenge nchi yao!!!
 
Back
Top Bottom