Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Kumbe Kuna uzi wa ukraine kujifariji 😂 asa vp mnasonga mbele au nyuma 🐶
 
Tumepewa Vifaru nane na Slovakia aina ya Zuzana". Ajabu eti kimoja kimepotea. Bado tutaletewa vingine 16 vilivyobaki ila Sijafurahishwa na kupotea kwa Kifaru aisee. Ni Uzembe, ndo maana Israel haitumi silaha nzito kuogopa kuobiwa Teknolojia.
IMG_20230119_141707_722.jpg

 
Yule Mtanzania alofia Ukraine, alipelekwa Bakhmut ili akawateketeze Wananchi wa Ukraine kwenye ardhi yao. Yeye ni miongoni mwa Wanajeshi Kibao wa Urusi waliofia Bakhmut. Bahati yake mwili wake uliweza kubebwa.
 
Back
Top Bottom