figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #10,561
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kakosea, Pz2000 sio vifaru ni self propelled howitzers.Hivi vifaru wa Italia na vile vya Ufaransa 'Leclerec' mbona havitajwi Sana kama Leopard ?....ni kwamba vimezidiwa ubora au havina soko kubwa ?
T14 Armata
Ukraine wanapopokea silaha tofauti tofauti kama hizi ina maana inabidi ifanyike 'training' kwenye hivi vifaa ambayo imetofautiana muda kutokana na aina ya vifaru....hili haliweza kuleta tatizo mbeleni kwenye 'logistics' au kwenye offensive mfano kuwa na spare parts aina nyingi, tank shells aina nyingi... hasa ukizingatia baadhi yao havina uzalishaji mkubwa ?Hapo kakosea, Pz2000 sio vifaru ni self propelled howitzers.
Italy wana C1 Ariete na France wana Lecrerc ambavyo vyote hivi havina mass production. Lecrerc ndio vifaru vyenye bei kubwa duniani kwa sasa, watumiaji ni Ufaransa na nchi moja ya Kiarabu kama sikosei ni UAE. Kutokuwepo na operators wengi kunaondoa possible customers kwa kigezo cha economy of scale, longolongo sizazoendana na hii point ndio zinakimbiza wateja. Na geopolitics zinachangia
Trainings zinafanyika. Pia kuna Askari wa Nato wapo Ukraine kuwafundisha Silaha. Ukraine na Poland kila siku ni mafunzo. Achana na huyo anayesema Pz2000 sio vifaru. Hajielewi. Vipo vingi Ukraine. Huyu hajui self propelled howitzers ni nini wala inamanisha nini. Watu wajisomeeIla Ukraine wanapopokea silaha tofauti tofauti kama hizi ina maana inabidii ifanye training kwenye hivi vifaa ambayo imetofautiana kutokana na aina ya vifaa ?.....hii haiwezi kuwa tatizo kwenye offensive walioipanga ?
Hapo nadhani urekebishe mkuu. Sio urusi ni GermanyBaada ya Urusi kujivutavuta kuleta vifaru aina ya Leopard, Finland, Norway na Spain wamekubaliana kuleta vifaru vyote walivyo navyo aina ya Leopards
View attachment 2494356