figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
- Thread starter
- #11,441
Angalia Urusi wanavyopelekewa moto. Waoga balaa. Wamemwaga risasi kama Mvua wakati ni watu Wawili tu🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ngoma imegeuka basi hii ni good news.Hii ni kazi ya AZOV. Urusi wamwshondwa kusonga mbele huko Bakhmut. Matokeo yake wanazungukwa. Kama Wasiporetreat watatekwa wao. Kibao kimegeuka. Hii ni kazi ya 17th Armored Brigade na 3rd Assault Brigade (Ex #Azov) ambao wanawapiga Urusi kutokea kaskazini na kusini Wakutane katikati. Hawa Wagners kazi wanayo mbele ya Azov
View attachment 2531151
Ila kwa jana Wagner wame dig zaidi kuingia katikati ya Bakhmut. Sehemu ya makutano ya mtaa wa Shchedra na Rostovska uko under their control. Kwa lugha nyingine mtaa wote wa Rostovska uko chini ya Wagner.Hii ni kazi ya AZOV. Urusi wamwshondwa kusonga mbele huko Bakhmut. Matokeo yake wanazungukwa. Kama Wasiporetreat watatekwa wao. Kibao kimegeuka. Hii ni kazi ya 17th Armored Brigade na 3rd Assault Brigade (Ex #Azov) ambao wanawapiga Urusi kutokea kaskazini na kusini Wakutane katikati. Hawa Wagners kazi wanayo mbele ya Azov
View attachment 2531151